Wasanii wa KENYA waliofanya kolabo na mastaa wa majuu na hawaringi.samata na kiba kwa sasa ndio maarufu zaidi ndani ya bongo waliofanikiwa kimataifa, kiba alifanikiwa kimataifa kwa kutoa singo na R.KELLY na samata kafanikiwa kwa kupata timu ya ulaya ya GENK. hawa wanafanana sio kama yule anayejiita staa kwa kufanya kolabo na afrikan local musicians lakini hajawahi kuimba na mwanamziki yoyote wa marekani kama kiba,
Hehehe wewe utakua umemsikia Haruna Moshi Shaaban Mawela Boban Fundi Mwalimu Mtaalamu Juzi tu Baada ya Kuwapiga watu Magoli mawili.Haruna Moshi alienda kucheza ulaya, ila sio maarufu kuliko Kanavalo wa Yanga, au Hajibu wa Simba.