...jasusi.....ukifatilia huu uzi utadhihirisha ule usemi wa siku hizi kuwa...anaeonekana kuzungumzia madhaifu ya TZ ya leo anaonekana msaliti....ama si mzalendo.....ukweli huu unajidhirisha kwenye uzi huu kwa michango ya watu....na ndio sababu hata kupambana na mambo kama ufisadi...ama biashara chafu za unga inakua shida nchi hii...maana lazima watatoka wapuuzi wengi kutetea uchuro uliotufanya kufika hapa kama nchi....tena wanatetea kwa kigezo cha kipubavu...eti watu wanakosa uzalendo....hapa ndipo tumefika kama nchi....na inasikitisha unakuta hawa na graduates ambapo wanategemewa kesho waijenge TZ......
.....Tukija kwenye issue ya Rwanda na maendeleo yao ya haraka ukilinganisha na wengine(kama TZ)...hawa wanaosema kuwa Rwanda wanaendelea kwa kutumia raslimali wanazopora DRC...mbona hawajiulizi kwanini basi TZ isiendlee kwa raslimali tele ilizonazo???...ama nazo zinaporwa na Rwanda????.....ujinga huu wa kifikra.....
....Ukweli unabaki pale pale kuwa Rwanda wanaongozwa na kiongozi ambae anaongoza kwa ideology ya "self dependency ..as a country"...as opposed to mtawala wa TZ(JK)...ambaye anaendesha nchi kwa ideology ya "begging for survival".....huu ni ukweli mchungu....na ndio tofauti kubwa kati ya uongozi wa Rwanda na TZ.....
....In fact tofauti kwenye ideology za kiuongozi inaweza kuwa ndicho kikwazo kikubwa kinachofanya TZ ionekane kama inatengwa kwenye issue za EAC.....pamoja na kuwa watu wengi wamekazia kuwa yote yanatokana na ugomvi wa PG na JK...mimi naona ugomvi huu ni catalyst tu ya issue zilizojificha....ambazo(unfortunately)watu hawaziongelei......
...Pale ambapo PG na marais wengine karibu wote wa EAC wanapita na kuhuburi "self dependency as countries"....ni JK pekee kati ya wote ambae anapita dunia nzima bila aibu(tena openly)akihubiri "begging for survival as a country"....Huu ni ukweli usiofichika na ndio umeiweka TZ katika hali iliyopo.....na sioni kwanini usiifanye TZ kutengwa na wengine....pamoja na resources zilizopo.....Ni wajinga pekee watabeza maendeleo ya Rwanda...huku wakisahau uchuro uliopo TZ unaofanywa na watawala wao.....
.....Hata kule Zimbabwe kwa Mugabe...ambae JK na ccm yake wanamtumia kama role model.....yeye naye Mugabe ideology yake kiutawala pia ni "self dependency as a country"...na ndio imemfanya hata atengwe na nchi za magharibi....lakini utashangaa serikali ya ccm wanatoka kinafiki na kujifanya eti waumini wa sera za Mugabe.....wakati si kweli kimsingi......Tofauti kubwa ya PG na JK kiutawala ni kuwa mmoja ni "self dependent leader"....na mwingine ni "world begger"......huu ni ukweli mchungu kwa wajinga wengi TZ........
Kama cha baba MwanaashaNilijua ukiwa na kichwa kikubwa unakuwa na akili kumbe wala.
Unatokwa povu tu na uzushi wenu, lini uliona wanaiba madini, mtazusha wenzenu wanasonga mbele. Nyinyi c mmeridhika na biashara ya sembeUchumi gani unaosema na wewe mbulula nyie warwanda wa ajabu sana mnaiba madini congo bila ushuru halafu leo mseme uchumi unakua kwenda zako na lwanda yako.
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
wewe lazima Utakuwa Mhamiaji Haramu huwezi ukamtetea kagame kiwango hiki!Unatokwa povu tu na uzushi wenu, lini uliona wanaiba madini, mtazusha wenzenu wanasonga mbele. Nyinyi c mmeridhika na biashara ya sembe
ukisha connect dots, utafanya nini?ni connect dots.
Kupitia taarifa ya Habari
ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia
katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake
unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku
na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao
na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama
huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa
tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Wahamiaji Haramu wengi wapo
Dsm huku wakiwa waumini wakubwa wa JF wakiwa na Lengo la kutumia nguvu
kubwa kuutetea uporaji wa Mali za Congo na Nchi jirani kwa namna fulani
Mfano harisi na Tanzania imeadhilika sana na Uhamiaji Haramu na Ukimbizi
kwani uharibifu wa mazingira uliosababishwa na uhamiaji haramu hauna
mfano Wizi ujambazi na uwingizaji wa siraha huko mipakani ni athali za
Uhamiaji haramu Hivyo Uchumi wa Tz umemegwa na Hawa kwa staili ya ajabu
kwani Tz imejikuta ipo busy kutatua matatizo yanayosababishwa na hao
jirani kwa Gharama kubwa pasipo kujijua !ebu jiulize Leo Kama hz pesa
zingelielekezwa kwenye maendeleo tungekuwa wapi?Nchi za Ulaya wao
hawataki Uhamiaji Haramu na wanajua athali zake kiuchumi Hivyo Tz
tujifunze mbinu za kisasa za kupambana na uhamiaji haramu unapora Mali
na kuzinufaisha nchi zao kisha Takwimu za Uchumi kusifia Nchi eti
zimekuwa kiuchumi wakati zinayumbisha Nchi zingine kiuchumi kwa faida
yao .
-------- mkubwa wewe swali gani hilo? Ukuaji wa uchumi wa rwanda si endelevu kwasababu hautegemei nguvukazi ya wanyarwanda bali mali asili zinazoporwa kutoka drc, vta ya kongo ikikoma hata panadol mtakuwa mnakopa .
Kupitia taarifa ya Habari ITV saa 2, taarifa imesema katika utafiti uliofanyika na benki ya dunia katika nchi 100 Rwanda imekuwa nchi ya 7 kati ya 100 ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi kila mwaka na mfumuko wa bei umeshuka kwa kasi sana,
Najua wengi tunaichukia Rwanda na Kagame na hasa kutokana na mtafaruku na Raisi wetu lakini wenzetu wanafanya vizuri katika kupanga mipango yao na utawala wao unafuata sheria na hakuna ufujaji wa fedha za umma kama huku kwetu na hili linafanyika kutokana na Kagame kuwa mkali, tunatakiwa tujifunze mazuri kutoka huko ili nasi tuendelee.
subiri, kichapo wanachopata M23 kitaporomosha kabisa uchumi wa nchi hiyo. kwanza uchumi wa nchi nzima ya Rwanda haulingani hata chembe na uchumi wa Dar pekee
Daaa kwa comment hizi tanzania tuna miaka mia ijayo kumfikia kagame
Mimi ni mtanzania halisi, tatizo lenu wauza unga hampendi kuambiwa ukweli, usifiche mshumaa chini ya uvungu wa kitanda ulete giza utaunguza kitanda na nyumba. Kagame anapiga kazi nchi yake inapiga hatua, nyinyi kupiga domo tu eti anaiba Kongo. Endeleeni kusafiri na mihadarati yetu muimarishe chama wenzenu wanafana mambo ya maendeleo.wewe lazima Utakuwa Mhamiaji Haramu huwezi ukamtetea kagame kiwango hiki!
Huu si Uzushi ni Ukweli na Dunia nzima wanajua Rwanda ni Mwizi number one wa Rasilimali za Congo akifuatiwa na ndugu yake Uganda na Mali ya Congo Ndio imemwinua kiuchumi Kagame na Serikari yake huku fedha nyingi ikitumika kuligharamia Jeshi lake kubwa na waasi wa m23 ambao Ndio wanalinda masilahi ya Rwanda Congo Ndio Maana Kagame sasa anamchukia Rais JK kisa amepeleka Jeshi Congo kuharibu vyanzo vyake vya mapato haramu hizi choko choko zote chanzo ni masilahi ya kagame Rwanda kuguswa kwani Kagame anahofia atafulia pindi akitolewa Congo na itamwia vigumu kuligharamia Jeshi lake Matokeo yake ni Uasi mkubwa kwani Njaa ikipiga hodi Jeshini lazima Majanga yajongee kwa kasi sana .hizi takwimu za kukua kwa Uchumi wa Rwanda zitakuwa aibu siku M23 waking'oka Congo kisha Hakuna njia ya kupora Mali huku wimbi la wahamiaji Haramu Kama wewe mkiendelea kurejeshwa Rwanda.