Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Umefanyiwa nini? Je umejaribu kujichunguza binafsi? Inawezekana wewe ndie uko sensitive kupita kiasi.
Nini shida mrembo?
Aisee, kumbe ni mrembo?
Anahitaji faraja ya dhati kwa kweli.