Mimi mawazo yangu yanaona ni bora cdm watengeneze military police type of unit ambao watashughulika na hawa watoto wa ma ccm siku hiyo ya mambo kupinduka,najua lengo la ma ccm kuwatengeneza hawa vijana ni kuwatayarisha kuleta fujo siku watanzania watakayowatema kama ganda la mua/au itakuwa vizuri sana nikiandika siku watanzania wakiwatema kama shubiri maana ganda la mua asili yake ni utamu,sasa ni utamu gani watu watakuwa wameufyonza zaidi ya machungu yake tuu(shubiri)
majitu yamekalia wizi na kuwadhulumu watanzania kila siku tena bila hata ya woga au aibu,yenyewe imeendekeza kuiba tuu,sasa tumeisha ishitukia zama zile zimeisha pitwa na wakati wake,sasa ni ukweli tuu na uwazi ndio vinavyozungumza ktk mioyo ya watanzania.Mimi ninatabiri kwa huu mwenendo wa maccm nchi yetu itaingia matatani na ninaamini utawala mpya utakuwa na ulalamishi sana kwani ma ccm hayatokubali kuachia ngazi hivi hivilazima watamwaga damu,hivi vitoto vyao kama visipo tengenezewa mkakati madhubuti vitakuja leta kasheshe kubwa sana.Niliviona kule Songea ktk uwanja wa maji maji jinsi vilivyokuwa tayari kwa lolote lile mbele ya mwenyekiti wao wa chama pamoja na katibu wao mkuu alikuwepo pale uwanja wa maji maji wote kwa pamoja walikuwa wakivipigia makofi.Baadhi yenu mtaniona naandika vitu vya kubuni lakini naamini mtakuja nikumbuka hiyo siku mti wa mkwaju utakapowaka moto.PEACE Mr Murage Msherwampamba.