Kwanini RED BRIGADE Haizinduliwi Moshi na Arusha

Nimeona Mwenyekiti CHADEMA Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya Moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.

Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.

Mbona hukui kiakili!? Bado unatabia ya kueneza ukabila na kutugawa kikanda!? Chadema ni kwaajili ya tanzania nzima..
 
Nimeona Mwenyekiti CHADEMA Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya Moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.

Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.

Vijana wa huko sio waoga kama kanda zingine, hili liko wazi kabisa. hawahitaji kuzindua huko, sabu kazi ilishakwisha zamani sana.
 
Ikifika Arusha ujue lazima watu watakufa,mfadhili mkuu wa CDM ni MCHAGA anamiliki kiwanda cha viroba.
 
Ataenda tu ...unawashwa nini?

Mbona hujauliza kama amezindua Bagamoyo?

Mbona hujauliza kama amezindua Temeke au Ubungo

Ukijisikia Uchungu sana...wahi labor

mbona ameuliza swali kiungwana unajibu kihuni?utafikiri umelazimishwa kujibu
 
.......Nimejaribu kusoma uzi wako lakini nimeshindwa kuelewa lengo la uzi huu ni nini. Ebu nikae kimya niwaache ambo wamekuelewa watakuja kukujibu.

Yaani unataka kutuaminisha kuwa hata ISIS, Al-qaeda, Boko Haram, Al-Shabaab n.k walianza hivi hivi? Hivyo vikundi nilivyokutajia hapo husema wanapigania dini na Mungu wao, wewe unafahamu lengo la kuanzishwa kwa Red Brigade?

Mmmh!! ebu nikae kimya maana maandishi nayotaka kuyaandika siyo mazuri.
 
Mikoa ambayo Mbowe amei'target ni huko alikoweka hao mabwana na baadae Mara(Musoma).

Macharii wa Chuga na Moshi hawana Uboya kama huu. Wao Noti tu.

Mchakato huu ni kwa mikoa yawazembe na wanaotumika kama VYAMBO tu!

hadi chozo pole unatia imani mdada
 
Wachaga hawana mda wa kufanya ujinga huo wakati ada Ya shule hatujamalizia
 
mbona ameuliza swali kiungwana unajibu kihuni?utafikiri umelazimishwa kujibu
huyo msela abubakar anatupotezea muda tu , cdm inao utaratibu wa kwenda kanda kwa kanda na raia wote wa nchi hii wanalifahamu hili , sasa yeye kachelewa wapi ? acha vijana wamshughulikie na unafiki wake .
 
Nimeona Mwenyekiti CHADEMA Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya Moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.

Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.

Acha upuuzi na green guard nao ni magaidi!
 
1425412506482.jpg
 
.......Nimejaribu kusoma uzi wako lakini nimeshindwa kuelewa lengo la uzi huu ni nini. Ebu nikae kimya niwaache ambo wamekuelewa watakuja kukujibu.

Yaani unataka kutuaminisha kuwa hata ISIS, Al-qaeda, Boko Haram, Al-Shabaab n.k walianza hivi hivi? Hivyo vikundi nilivyokutajia hapo husema wanapigania dini na Mungu wao, wewe unafahamu lengo la kuanzishwa kwa Red Brigade?

Mmmh!! ebu nikae kimya maana maandishi nayotaka kuyaandika siyo mazuri.

Mkuu yaandike tu kama matusi niliyategemea kwani ni kawaida yenu.
 
hadi chozo pole unatia imani mdada

Kuwa makini plz. Utachezea "ban" soon.

Hata fb ukipost picha za matusi(mfano),wanakuvuruga. So, usiwe mtoto kias hicho wakuchezea moto wakat unaunguza.

Rekebisha kauli zako hizo.
 
Moshi wakianzisha vurugu mapato ya utalii yatashuka,kwa kulifahamu hilo Mbowe ambae ni MCHAGA hayuko tayari kupeleka RED BRIGADE wala MAANDAMANO.Siku zote wajinga ndio waliwao.
 
MMmh!! hiyo ID yako tu mleta mada imenitisha.Vipi wale wasichana mliowateka?
 
Back
Top Bottom