Nimeona Mwenyekiti chadema Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.
Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika kama kondom na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivihivi.
Ndicho nilichotaka kumjibu!!! Asante mkuu.Arusha kila mtu ni red bregade
kutokana na ukamanda huanzia moyoni sio machoni
Sawa kabisa kamanda!! Kumbe umejua kuwa ngome zote za ccm ni za maboya,na ndiyo maana Mbowe amezi target ili azikomboe kutoka kwa ujinga wao wa kukumbatia majizi ya ccm.Mikoa ambayo Mbowe amei'target ni huko alikoweka hao mabwana na baadae Mara(Musoma).
Macharii wa Chuga na Moshi hawana Uboya kama huu. Wao Noti tu.
Mchakato huu ni kwa mikoa yawazembe na wanaotumika kama VYAMBO tu!
Mungu wangu tusaidie ikifika kwa jamaa wale wanywa viroba.Yani hii bregadi nyekundu ni kiwanda cha majambazi
Loo hawa watoto mbona wananitisha hivyo,yaani wamebebeshwa silaha kubwa kubwa sana na sijui hawa ccm ni kweli watakubali kushindwa na kuachia ngazi safari hh kweli?
Mungu atuepushie na hivi vikundi vya kigaidi maana hawa ni kama panya road tu.
Red brigade ni panyaroad in uniforms
Tofuti kati ya Panya road na Bregadi nyekundu ni ndogo sana.Kiufupi ndio wale wale.
Nimeona Mwenyekiti CHADEMA Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya Moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.
Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.
mfano Moshi hiwezi kukuta maandamano ya chadema, huko ni makao makuu ya wenye chama
nimeona mwenyekiti chadema taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.lakini sijamuona akienda maeneo ya moshi na arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.
Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.
Mungu wangu tusaidie ikifika kwa jamaa wale wanywa viroba.Yani hii bregadi nyekundu ni kiwanda cha majambazi
Yap! Wanapelekewa Maji walio na Kiu!
Green guide ni Boko haramu!