Kwanini rais wetu hatembelewi?

ni rais legheleghe...........wenzake hawana cha kujifunza kutoka kwake
 
Soma vizuri mkuu mimi nimetaka kujua marais tena marais wa nchi zinazotuzunguka sio mabalozi, pia nimetaka kujua walipanga mipango gani ya pamoja ambayo itaendeleza wananchi wa nchi husika. Hatupo hapa kukejeli la hasha nimetaka tujadili mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu bila kutake advantages zilizopo katika nchi nilizozitaja. Naomba ujikite kwenye mada mkuu sio kudefend tu bila kueleza nini kinafanyika hatutaweza kuendelea kama hatutajadili rootcauses za matatizo yetu.
Sitaki kujadili hapa kuhusu kuchaguliwa kikatiba na kidemokrasia kwani kuna utata mkubwa hivyo basi tujikite kwenye mada.
 
jamani miradi inachukua muda, kuna uwezekano safari zake ni za kukumbushia ahadi za wakubwa wa Nchi husika. msihofu hizi ni njia za kuimarisha mitandao ya kidiplomasia kwa kushirikiana na mabalozi mbalimbali.
 
Naomba mtu aconfirm hapa kwamba, Mwai Kibaki hawajahi kukanyaga TZ toka Jakaya
awe Rais. noting that Kenya is the East African Giant Economy.

amewahi kuja kwenye mikutano ya EAC Lakini hajawahi kuja kwa ajili ya bilateral agreements ambayo ingesaidia kuuza sukari kwa mfano kwa utaratibu uliowekwa kisheria kuliko magendo kama ilivyo hivi sasa kuna maeneo mengi ambayo tunaweza kunufaika lakini hakuna mipango inayofanyika.
 
Serikali yake haina uwezo wa kufanya mvua inyeshe !!!
 
Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki

Kweli bwana Rais wa marekani Hilary clinton alikuja kurekodi script moja ambayo 50 cent amemshirikisha JK wakifokafoka huku Hilary akiwa amemshika mtoto mmoja mwenye tumbo kubwa kifua wazi wa pale bondeni mlandizi karibu na US army barracks
 
Kaka huo ni wivu tu we ulitaka uende ww! Hebu tuache unafiki maana nchi hii iko hali hii kutokana na viongoz wote hasa marahisi wote waliomtangulia kutanguliza uombaomba tangu mwanzo... Hebu tuone pamoja na kujifanya ni wajamaa sijui nakujitegemea bado hata wakati wa mwalimu tulibaki mategemezi 2! So jk kusafiri ni kwa ajili ya WADANGANYIKA WOTE hata ww ukiwamo... Ona kupitia safari zake yafuatayo yamepatikana.. Vyandarua, maji safi kule kijijin kwenu na kwetu, mgao wa umeme ili dili ziende pouwa. Hata hayo maendeleo unayolilia bado ni sehemu ya safari za jk maana asingeenda kuomba watu wange kula mchanga.
Wamtembelee Rais wa viwango vya kina 50%, Eminem, Lil Bow Wow, Lil Wayne kwa lipi la maana?
 
wa meona inchi imemshinda na wanaogopa usalama wao wakiwa nchini
 

hivi Bush alimtembelea nani? mbona kuna viongozi wengi wamekuja akina Hilary, Rais wa China, na wengine wengi? fuatilia kwanza upate taarifa sahihi ndipo ulalame
 

The cowboy from Texas was here for 3/4 days. Don't you remember?
 
Mmmh! Wadanganyika bana! Sasa mtu anauliza kutembelewa jaman mböna jk ametembelewa sana tena na viöngozi ambao hata nkapa hawajawaì kumtembelea wapo akina bush, rahis na pm wa india, wa china sehemu zote hz kuna viwanda mmh! Ila wadanganyika wengi tatizo lao ni ujinga, umasikini, utapiamlo, uoga, unafiki na uongo tena na ufitini... Nambien ni rais gan wa njii hii ambaaye safari zake zilikuwa na maana.. Mkapa aliuza sana nchi yetu kwa safari zake! Mwinyi vivo hvyo... aliuza loliondo si afadhari ****** hata bibi zenu, wajomba zenu wamepata vyandarua mmh maana kawa nusuru na mbu... Jaman maendeleo n mchakato.. Mathalan zito anautamani urahisi lkn tayari anazunguka huku na huko je amesaidiaje chama cha magwanda kama c unafiki 2
 
Fuatilia hata kwenye mawasiliano Ikulu na maeneo mengine utaona akiwa na Guebuza (kufungua daraja la umoja), Bingu, Rupia Banda (alikuja bongo si siku nyingi, Kabila, M7, mbona wote hawa amekuwa anafanya mazungumzo nao? hata kama hajatembelewa lakini ametembelea nchi mbalimbali na mazungumzo akiwa hapa au akiwa kule yanahusiana na Bongo? kuna mambo ya kulaumu lakini siyo hili la kutembelewa
 
Kama yeye anawatembelea, wao hawana haja ya kuja huku kwetu. Nakumbuka alikaa na George W Bush hapa kwa zaidi ya siku tatu. Moja ya ziara ndefu kabisa kwa Rais wa Marekani kukaa nchi moja kwa muda huo.

ndg yangu George Bush alikuja kutembea kiwanda chake huko Arusha, A-Z. Alikuja kimaslahi zaidi.
 
Ametembelewa na Gadafi! Hii ilikuwa ni mara tu baada ya ile vita ya libya kuanza! Jamaa aliingia bongoland usiku usiku akaongea na mjomba halafu akajikataa usiku huo huo!
Mkuu unamaanisha ndie aliyekuja kuchukua wale Twiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…