watu hawakuuliza kutembelewa kwa benard membe,jaribu kuelewa protocal,hillary clinton si size ya Rais kikwete ila kwa vile unajua uwezo wa Rais wako nadhani upo sawa!!na isitoshe huyo mgeni wa membe alikuja kuhalalisha wizi wa dowans!!!!!!Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
For Sure utakuwa unamaanisha Rais Wa Kwanza kuja Dar Es Salaam na Si Vinginevyo Bill Clinton Ndie Rais Wa Kwanza Wa America Kuja Tanzania Ulikuwa Utawala Wa Mkapa..Rais wa kwanza wa american kuja Tanzania ni George W.Bush mwenyeji wake alikua Kikwete
watu hawakuuliza kutembelewa kwa benard membe,jaribu kuelewa protocal,hillary clinton si size ya Rais kikwete ila kwa vile unajua uwezo wa Rais wako nadhani upo sawa!!na isitoshe huyo mgeni wa membe alikuja kuhalalisha wizi wa dowans!!!!!!
For Sure utakuwa unamaanisha Rais Wa Kwanza kuja Dar Es Salaam na Si Vinginevyo Bill Clinton Ndie Rais Wa Kwanza Wa America Kuja Tanzania Ulikuwa Utawala Wa Mkapa..
Wingi wa Viongozi Wajao Nchi ni Kutembelea Mbuga za Wanyama Na Si Vinginevyo lakini wakifika hupewa ma deal waje wazoe mali zetu
Tizama Hata Abramovich alipotua aliombwa anunua Simba na Yanga akatoa nje akasema nikirejea tena ndio ikawa ''G''
Rais wa Zanzibar tu hapendi kuja.
Hata Raisi wa Pemba Hafikirii kutembelea Tanganyika
Rais wa kwanza wa american kuja Tanzania ni George W.Bush mwenyeji wake alikua Kikwete
Simple analysis but very true......jamaa hana marafiki wa Afrika yeye na Marekani tu,maana katika safari za nje alizofanya JK nyingi ni za Marekani....
Wameshamshtukia kama ni msanii hakuna lolote la maana watakalolipata toka kwake zaidi ya kuchekacheka tu.
Anahamgaika kwa ajili yetu......kumbuka....."Nisiposafiri nje mtakufa njaa"- JMK