Mimi nashindwa kuelewa kwanini kodi tukatwe sie tu tunaolipwa senti mbili lakini wabunge, mawaziri na rais hawakatwi. What is so special about them wasikatwe kodi? Kwanini sie ndo tupigiwe kelele za kuwa wazalendo tulipe kodi wakati wao they get everything for free? Hiyo haki sawa kwa wote ilioandikwa kwenye katiba iko wapi?
Kuna haja yakuwa na principles of taxation kwenye sheria zetu. Sio kodi zikatwe kwa matabaka tu.
Kuna haja yakuwa na principles of taxation kwenye sheria zetu. Sio kodi zikatwe kwa matabaka tu.