Kwanini Rais Mstaafu Kikwete akiongea Kiingereza hatetemeki?

Akili ya mwafrika bana ...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.
Screenshot_20210410-172924.jpg
 
Lugha ya kiingeleza ina maajabu yake, si kama lugha zingine duniani ambazo ukijifunza kwa mwaka mmoja tu unaongea vizuri, mi nafikiri kiingeleza kina connection na ulimi wa mtu - haiwezekani mtu ukafikia hadi PHD masomo yako yote unatumia lugha hiyo hiyo lakini still inakushinda, kwenye "is" unaweka "was", kwenye "thought" unaweza "think", kasheshe kwenye kuweka sentesi ya wakati timilifu uliopita (past participle ) hapo sasa inakuwa vurugu tupu.

Kiingeleza ni lugha ya wito.
 
Kiingereza
 
Hujui kiingereza. Kikwete hafahamu kiingereza. Kiingereza chake ni kibovu cha mtoto wa darasa la 3. Hatetemeki sababu ameshazoea kukosea hivyo anaendelea humo humo. Na si mlaumu si lugha yake. So siyo case.
 
sawa mkuu, tatizo la "r" na "l" ni la kitaifa, hasa sisi wa kanda ya ziwa na ndiko kwenye tatizo sugu la kuongea lugha hii ya kiingereza.
Mwl au Chenge wanatoka wapi na mbona wanaongea kiingereza vizuri sn? sema ni kujilemaza tu
 
Jiwe kaacha mimba nyingi sana hapa nchini!

Hebu cheki watu wanavyoteaeka nazo!

Kuweni wawazi tu jamani tutazilea
 
Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.

Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.

Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Ila watu kweli tumekosa ya kufanya mwishowe mtasema mbona akivaa kanzu hatetemeki ,mumekaa kuchunguza ujinga mtu akisema atatemekaje? anamuogopa nani hadi atetemeke au ndio kujazana sifa za kipumbavu.
 
Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.

Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.

Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Mchumi huyo lazima ajue lugha ya biashara,sio mtaalam wa korosho azina lugha ,yes
 
Huyu alizaliwa na kiswahili akapambana kujua kimombo pekee, mwendazake alizaliwa na kisukuma akaanza kupambana kujua kwanza kiswahili baadae kimombo, JK anajua lugha 2 tu na mwendazake alimudu moja 1 hizi 2 ilikuwa ni majanga.
kuna msemo unasema, usimsifie anayekimbia ana mbio, muangalie pia anayemkimbiza. kwa level yako wewe ya English lazima umuone JK anajua sana.
 
Bora mzungu alivyokuja kutuokoa. Historia ya utawala wa Africa kabla ya ujio wa wakoloni haisomwi vizuri.

hao wachina na mataifa ya wazungu hupambana kukijua kiingereza ili wawe 'compatible' dunia nzima.

Ukiwaona wanajenga Africa usifikiri waliona tangazo la tenda lilioandikwa kwa kichina.

Usione Chancellor wa ujerumani anaongea Kijerumani,ukimuita Chemba anatema yai hatari.

Huyu karibu mkuu wa UN Guiterez ni mreno,ila anatema yai.
Hawa makocha walioko Africa ambao wanatokea Ufaransa , Belgium,Serbia na nchi zisizo na English wanaongea English ndio maana wanafanya kazi karibia kila nchi Africa. Including Gomez na Sven sio waingereza.

Unafikiri Makocha wa Bongo hawana uwezo wa kufundisha nje ya nchi? Yai baba.
Umeua kabisa mkuu,
 
Akili ya mwafrika bana 😂😂😂...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.
Mkuu inaonyesha umekasirika sana. Tufungue akili basi, mbona unaishia njiani! hutaki nasi tuelimike?
 
Akili ya mwafrika bana 😂😂😂...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.

Hata hao Wazungu unaowarejea wanakubali kuwa sisi Waafrika tuna vichwa Bora zaidi Yao. Dadeki! Wewe unafikiri kusoma KM 10 kutoka nyumbani na Darasani wapo Wanafunzi 70, mvua ikinyesha kipindi kinaghairishwa na baada ya mwaka mmoja tu wanafunzi wote wanajua kusoma. Hii nayo sio akili ndogo 🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom