Kwanini Rais Mstaafu Kikwete akiongea Kiingereza hatetemeki?

Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.

Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.

Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Acheni uongo kile kiingereza gani cha English course, kiingereza anachoongea kwa lafudhi ya kiswahili?
 
Watanzania ni watu wa ajabu sanaa kwa kweli, hamuwezi mkamuacha marehemu akapumzike kwa amani ,in an african tradition its taboo to speak ill of the dead.au nyie ile misemo ya "ukitaka kusifiwa uwe marehemu"mnataka kuandika upya ?acheni ujinga na muache marehemu apumzike kwa amani.
Matumizi ya ... its
 
Marehemu ambaye there is nothing that we can do. Hivi shida ni nini? Mbona kama tuna DNA za kichawi vile???
 
Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.

Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.

Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Kwahiyo alitakiwa atetemeke!?
 
Hicho nacho ni kipimo cha nini? Wapo vichaa kadhaa ninaowafahamu wanaotiririsha Kimombo with confidence na bila hiccups!
 
Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.

Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.

Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Kiingereza kina hofu yake kwa wale waliojifunza ukubwani.
 
Back
Top Bottom