Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,343
Mama Salma Kikwete ameteuliwa ili apewe wizara mkuu.Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .
Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Ndio mrithi wa Muhongo ?Mama Salma Kikwete ameteuliwa ili apewe wizara mkuu.
Muda si mrefu utasikia ameshakua waziri.
Mmeonywa kuachana na Marais Wastaafu lakini bado nyinyi Nyumbu mnaendelea tu. Subirini cyber crime Act itawanyoosha.Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .
Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?
Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Aliyekubali uteuzi ni JK au Salma?!!! Labda tuanzie hapo kwanza.Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .
Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?
Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Aliyekubali uteuzi ni JK au Salma?!!! Labda tuanzie hapo kwanza.
Vitisho na hasa uchawi ndio njia pekee ya masikini kupambana na tajiri .Mmeonywa kuachana na Marais Wastaafu lakini bado nyinyi Nyumbu mnaendelea tu. Subirini cyber crime Act itawanyoosha.
Ndio maana tumeuliza .Aliyekubali uteuzi ni JK au Salma?!!! Labda tuanzie hapo kwanza.
Mteuliwa ndiye anayekubali/kataa uteuzi, tena kumbuka hawa ni muslims!Ndio maana tumeuliza .
Maneno hayaui mtu, jambo la msingi ni tumbo kwanzaKwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .
Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?
Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
MfyMmeonywa kuachana na Marais Wastaafu lakini bado nyinyi Nyumbu mnaendelea tu. Subirini cyber crime Act itawanyoosha.
Akipewa uwaziri itakuwa maajabu ya duniaHawa watu walishaona sisi ni mazuzu wanaandaliana maisha trust me huyu mama anaandaliwa kuwa mtu mkubwa sana !!