Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,571
- 217,930
Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .
Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?
Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja