Kwanini Rais Mstaafu, Dkt. Kikwete alikubali Mke wake kuteuliwa Mbunge?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,421
215,184
Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .

Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?

Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
 
Si wa kule kule upande wa Nape au!? Hivyo ilikuwa muhimu pia kuweka mtu kiaina.

Ila Magu nikikumbuka siku yupo mkoani kule anamsifia Nape na Mama Salma ndio kateuliwa kakaa hapo, kiaina niliona iko odd.

Na sikushangaa, na alipatwa bichwa kweki kusifiwa naona akaamua kujiavhia zaidi, kumbe yupo kwenye radar yake anasubiriwa kunaswa... ha ha ha haaa
 
Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .

Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?

Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Mmeonywa kuachana na Marais Wastaafu lakini bado nyinyi Nyumbu mnaendelea tu. Subirini cyber crime Act itawanyoosha.
 
Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .

Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?

Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Aliyekubali uteuzi ni JK au Salma?!!! Labda tuanzie hapo kwanza.
 
Kwamba alilenga nini kukubali uteuzi ule ? Maana kiukweli kwa nchi hii hili ni jambo jipya sana .

Ushahidi kutoka bunge la Tanzania unaonyesha kwamba Marais Wastaafu hushambuliwa mno bungeni , tena mara nyingi kwa ushahidi wenye vielelezo , sasa huyu mama anaweza kuwa na kifua cha kuhifadhi maumivu ?

Mwenye majibu anaweza kutusaidia hapa ili tushiriki wote kwa pamoja
Maneno hayaui mtu, jambo la msingi ni tumbo kwanza
 
Nchi zisizo na maboya:
  1. Kenya wazee wa MauMau. Japo tunawasema kwa ukabila, wana uzalendo kwa taifa lao kuliko sisi. Na haki zao wanazijua na wako tayari kuzipigania kama walivyofanya mwaka 2007 chama tawala kilivyozingua kwenye uchaguzi. Uzuri zaidi, wanaheshimiana sana baina ya upinzani na watawala. Uhuru na Odinga japo wanapingana kisiasa, wanaongea kama watu wazima, kama vile walivyofanya baba zao (Jomo na Jaramogi). Bongo watawala wanaongea na wapinzani kama mtu mzima na mtoto.
  2. Nigeria wazee wa Biafra na Mapinduzi ya Kijeshi. Hawa jamaa ndo wajanja wa Africa na dunia kwa ujumla. Wazungu wamelizwa sana na wa Nigeria. Wamethubutu kuwafanyia wazungu kile kitu ambacho wao wanatufanyia na waliwafanyia babu zetu. Taifa lolote linaloweza kuwaibia wazungu, lina future nzuri.
  3. South Africa wazee wa Apartheid. Harakati za ukombozi zimewafanya wasisubirie kupewa kilicho haki yao, wanachukua wenyewe. South Africa ukikata maji au umeme kwa siku kadhaa, unawakuta kina mama wanaandamana uchi barabarani. South Africa ndo nchi pekee Africa ambako askari wake wana haki na wamewahi kuandamana. Jeshi pia limewahi kuandamana (sio kuasi) ili kudai haki zao.
Dola iheshimu haki za raia ili wasilazimike au kushawishiwa kuzichukua na wananchi waamke, waache kuibiana wao kwa wao. Sasa ni wakati wa kuiba nchi jirani na kuwaibia wazungu huku waliko. Sasa msije mkaanza kupora wazungu njiani, mtaua utalii. Waibieni kwenye mtandao kama wanavyofanya wapopo. Mali nyingi za wazungu waliwaibia babu zetu, ni wakati wa kuzirudisha.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom