Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

WRM KIVULE MAYEMBELE YA PILI WALIKUWA NA CRUSADE YA OPERATION DELATE DEMONS TANZANIA
IMEISH JPIL KWA IBADA KALI YA KUMUOMBEA MAGUFULI NA CRUE YAKE NZIMA PIA TULIPAT NAFASI YA KUIOMBEA TZ PIA
 
Hatuombei dikteta uchwara aliyejaa chuki na dharau za kutisha na visasi vilivyopita maelezo hadi kuwatusi wataafu.
 
Kama tunataka au hatutaki Mh, Dr, na Rais Magufuli ndiye rais wa Tanzania. Maamuzi yake yana athiri kila mtu, anayeishi Tanzania, Awe Mkristo, Muislam, dini yeyote hata asiye na dini. Anachoamua kima mazara kwa kila mtu.

Based kwa kanuni za ki kristo, haijalishi una mtazamo gani kumhusu, ni Lazima umuombee, zaidi kabisa tunapoona anapata changamoto nyingi sana, hizi changamoto will soon or later have effects in our lives.

TUJITAHIDI SANA SANA KUMUOMBEA RAIS WETU NA MUNGU AMSAIDIE AENDELEE KUWA NA HEKIMA KUFANYA MAAMUZI YATAKAYOTUSAIDIA. TUKIACHA KUMUOMBEA HATUMKOMOI, TUNAJIKOMOA WOTE.
Asante umeongea neno la kinabii kabisa ni
"hatari sana kwa kiongozi kujeruhiwa kiroho na asipate uponyaji "
By Mwalimu Christopher Mwakasege
Tushikamane tuendelee kumwombea ili busara na hekima ya Mwenyezi Mungu itawale katika maamuzi yake
 
Back
Top Bottom