MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,915
- 40,219
Serikali imekuwa ikihubiri kuhusu kutumia vitu vya nyumbani kwanza, sasa iweje yeye kama Rais anaenda kutumia Twitter na kuacha jamiiforums. Yote hii ni mitandao ya kijamii na changamoto zake zinafanana sana. Rais angeiunga mkono JF ingeweza kukua sana kwa watu wengi kujiunga.
Kwa kusema tuache kukimbilia bidhaa za nje naomba Rais na baraza lake waonyeshe mfano kwa kuanza kujiunga jamiiforums. Karibu sana mheshimiwa John Pombe Magufuli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Angekuwa hayupo JF, asnge omba malaika washuke wafunge mitandao, yupo na anayaona yote, hata mimi mume wangu hajui kama nipo yeye huwa ananisomea comment iliyo mfurahisha kumbe nami nimeiona..
Ha ha ha ha ha ha, Mbona yupo humu.
Umesema kweli mkuu, kukoment ni kipaji ujue pia na uelewa wa mamboNilichogundua jf ina watu wengi sana ila miongoni mwao husoma comments tu bila ku comment au ku like
Yuko wapi sasa? Km anatumia ID fake na yeye basi burudani kwa kweliNani kakudanganya kuwa rais hayuko jamii forums??
hapa jf wengi tunajificha. Yupo humu kila siku hata ID yake naijua. tena anapatikana sana kwenye jukwaa flan hivi sio SIASA.Rais hatakiwi kujificha. Au naye anataka kutumia haki ya kudare to talk openly🙂
Hahahaha NI MIMI JAMANI! Nipo!Labda ni mimi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1