Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

ukweli mtup!
hakia nia ya Ruge anajua nafsini mwake mwenyewe. siju elimu yake! ila namwona ni corrupt na kama kiongozi wa media iliyojizolea sifa kama yake kiuongozi hayupo sawa. hayupo balanced na kama hatajua atashanga anacheza ngoma za watu. ana ushabiki fulani. hafai kuwa kiongozi
 
hii fundisho kwa clouds fm maana walikuwa wapuuzi sana na kutetea ujinga , hata vitu vya kijinga walisifia kisa mkuu anapiga simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…