tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,317
Juzi Rais Dr John Magufuli ametuonya kuwahusisha Marais wastaafu kuhususiana na sakata la madini linaloendelea.
Je sababu alizozitoa au kuzieleza zinajitosheleza kuwazuia watanzania kuwajadili hawa Marais wastaafu kama wanafacts zinazowahusu kuhusu madini??
Zuio lake je litafanikiwa kutekelezwa au ni vizuri kuwaacha wanainchi watoe yao ya moyoni ili wawe huru Kulikoni kubaki na vitu moyoni huku vinawaumiza??
Hivi ni dhambi au kinyume na sheria kuwajadili Marais wastaafu kama Kuna jambo linawahusu??