Kwanini Rais Dr. John Magufuli amezuia Dr. Kikwete na Ben Mkapa kujadiliwa kuhusu suala la madini?

Raisi kuzuia Marais wastaafu wasijadiliwe,ni kweli yuko serious na vita ya uchumi?

  • Total voters
    115
  • Poll closed .

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,312
2,000
Juzi Rais Dr John Magufuli ametuonya kuwahusisha Marais wastaafu kuhususiana na sakata la madini linaloendelea.

Je sababu alizozitoa au kuzieleza zinajitosheleza kuwazuia watanzania kuwajadili hawa Marais wastaafu kama wanafacts zinazowahusu kuhusu madini??

Zuio lake je litafanikiwa kutekelezwa au ni vizuri kuwaacha wanainchi watoe yao ya moyoni ili wawe huru Kulikoni kubaki na vitu moyoni huku vinawaumiza??

Hivi ni dhambi au kinyume na sheria kuwajadili Marais wastaafu kama Kuna jambo linawahusu??
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,518
2,000
Hivi ni kwamba hamkuelewa gazeti lile liliandika nini au ni kupenda kufafuta udaku ili mjadili tu basi!?

Mnaponda ya wengine wengi wenu, lakina mnayofanya ni kuonyesha kwamba shuleni ilikuwa kupunga upepo.

Elimu ya Tanzania haswa sekondari inahitaji mambo ya ziada kuongezwa, hii ni aibu kila mara watu kuongezea yao ili wajifurahishe kwa sababu hawaelewi au kuwa na uwezo wa kuona nini kinajiri au kinaweza kuharibika... dah inasikitisha

Hivi watoto wenu, vizazi vijavyo mnawafundisha nini kwa mwendo huu!!!
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,380
2,000
Kuna mambo matatu!-

1) Kwanza ndiyo waliotumika makinikia kumweka hapo alipo.

2). Wakishitakiwa bila shaka na yeye atahitajiaka kizimbani kujibu uhujumu wa nyumba za serikali.

3). Anafahamu anayoyafanya ambayo hata Watanzania wengi wanafahamu lakini hawawezi kusema kwa ajili ya sheria. HIvo anajua kama atafungulia mlango huo, bila shaka kesho na yeye yuko likely kushitakiwa.

Hii ni kujihami binafis na wala si kuwalinda watangulizli.
 
DON

JF-Expert Member
May 6, 2008
860
500

PhD
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
13,325
2,000
Na hapo ndio mzee wa vijisenti wameshamkosa, anakwambia alikua anatekeleza sheria na kutimiza wajibu wake akiwa na baraka zote kutoka juu.

Inamaanisha kama ni kuzama, hatazama peke yake.
"Yule yule aliemwagiza kuuza nyumba za Serikali ndie huyo huyo alieniagiza nisaini" teh teh Mzee wa Vijisenti ameshatokea mbavuni hapo.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
kalimbwane

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
710
1,000
Hivi ni kwamba hamkuelewa gazeti lile liliandika nini au ni kupenda kufafuta udaku ili mjadili tu basi!?

Mnaponda ya wengine wengi wenu, lakina mnayofanya ni kuonyesha kwamba shuleni ilikuwa kupunga upepo.

Elimu ya Tanzania haswa sekondari inahitaji mambo ya ziada kuongezwa, hii ni aibu kila mara watu kuongezea yao ili wajifurahishe kwa sababu hawaelewi au kuwa na uwezo wa kuona nini kinajiri au kinaweza kuharibika... dah inasikitisha

Hivi watoto wenu, vizazi vijavyo mnawafundisha nini kwa mwendo huu!!!
Mkuu hapa naona umetoa mipasho
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,470
2,000
Kuna mambo matatu!-

1) Kwanza ndiyo waliotumika makinikia kumweka hapo alipo.

2). Wakishitakiwa bila shaka na yeye atahitajiaka kizimbani kujibu uhujumu wa nyumba za serikali.

3). Anafahamu anayoyafanya ambayo hata Watanzania wengi wanafahamu lakini hawawezi kusema kwa ajili ya sheria. HIvo anajua kama atafungulia mlango huo, bila shaka kesho na yeye yuko likely kushitakiwa.

Hii ni kujihami binafis na wala si kuwalinda watangulizli.
Thats it..... Na huyu jamaa atavurunda zaidi. Tutakoma.
 
miwani ya maisha

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
1,608
2,000
Uongozi ni dhamana hakuna mamlaka yenye uwezo wa kuzuia raia kuwajadili watu waliowapa dhamana na kuzichezea.
Ufike wake viongozi waelewe kwamba hata wao tumewapa dhamana na tutawahukumu kutokana na umakin/uzembe i wao....!
Basi awahamishe nchi kama hataki wajadiliwe..Jk alifanya hivyo kwa DR.Ballali kwa kumhamishia uhamishoni na ilidaiawa kwamba amefia uhamishoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom