UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Huwezi sema hujafa sana wakati huna takwimu Mbona huelewi? Ww tupe takwimu mmepima wangapi na nani positive na nani kafariki/ recovery ndio uje hapa kupinga.
Kuhusu hoja ya medical facility? Nachosema magonjwa mengi tu wameweza control mfano VVU, Malaria,Influenza etc ssa kwanini unakejeli tu eti ''waliotuzidi kila kitu wanakufa zaidi yetu''?? Unapima kwa ugonjwa mmoja tena mlipuko more so hauna takwimu za nchini kwako?
Hvi hzi reasoning za wapi.
Mnadai tuna vijana wengi? Well kwanini VVU au Malaria haiwaui hao wazee wa ulaya ije iue vijana wenye kinga imara wa Africa? Au kinga ipo kwenye corona tu?
Naomba tujadili kwa facts
Inawezekana hatuelewani.
"Wote tunajua hata influenza za kawaida tu zinawaua wazungu kuliko hata Corona.... So sio jambo jipya kwa mafua hatari kma swine au bird flu kuua sana nchi za magharibi. Otherwise wangekufa wengi zaidi if wasinge weka sheria kma za lockdown au wasingekua na medical facility nzuri"
Hebu fafanua vizuri ulichokieleza hapo juu.