Kwanini radi au thunderstorm haijawahi kuangusha ndege?

Kwanini radi au thunderstorm haijawahi kuangusha ndege?

Ipo story ya ndege kupugwa radi na kupasuka vipande viwili.....
Survival alikuwa binti mdogo ambaye alianguka akiwa katika siti na mkada wake.....

Aliangukia Amazon Forest, alivunjika colar bone na michubuko kadhaa.....

Abira wengine wote walikufa nadhani walipona wawili tu yeye na bibi mtu mzima yeye aliangukia upande mwingine....

Tafuta hii story YouTube utaikuta....

So YES, kuna ndege huwa zinapata shambulio la radi na dhoruba za angani.......

Ingia youtube utapata stories....
 
wewe naye umeambiwa juu kuvuka mawingu ya mvua inamaana hata kukkwa na mawingu huko sio ya mvua soma climatilogy aina za cloids
Ok! asante,ngoja nianagalie types za clouds niongeze ufahamu.Sorry! kama nimekukwaza,sikusoma climatology.
 
Ndege kupigwa na radi (lightning) ni kitu cha kawaida na kinatokea mara nyingi. Ya mwisho ni ya juzi kati involving Air New Zealand Flight No. 433. Bahati mbaya haikuua. Nyingine ni ile iliyopiga ndege ya Rais wa Ufaransa ( Francois Hollande) aina ya Falcon 7X wakati anaenda kukutana na Rais wa Ujerumani.
Kwa ufupi ndege kama ipo kati ya kilometa 2-5 inaweza kupigwa na radi.
 
Niliwahi kuona makala moja ikifafanua kwa ni kwa jinsi gani radi isivyiweza kuipiga ndege. Kwa wataalamu wa fizikia watafahamu kuna mwanasayansi miaka ya nyuma (Nikola Tesla) alitengeneza cage ambayo mtu hukaa ndani kisha cage inapigwa volts za umeme za kutosha ila mtu ndani hadhuriki. Basi kanuni hii ndiyo inayotumika kwa ndege za kisasa. Wajuvi wa mambo watasaidia kuiweka hii kanuni vema, namna ambavyo inafanya kazi.
IMG_20181018_110233.jpeg
 
Inamaana hakuna mawingu juu,sasa kuna nini?
Baada ya mawingu, kuna open space

Ukienda juu zaidi ndipo kuna International space stations n.k

Juu zaidi unazd kutoka nje ya dunia sasa

Kwa tuliowahi kupanda ndege za masafa marefu kutoka bara moja kwenda bara lingine watakubaliana nami
 
Minara mirefu, majengo mirefu nadhani meli hata ndege wana install kitu kinaitwa lighting arrestor kwa ajili ya kujilinda na radi
 
Ndege inapipa mawingu yenye mvua na radi.

Hayo mawingu ya radi yapo chini sana wakati ndege inapaa kilomete 21 toka chini
Ndege huwa zinakung'utwa na radi sana tu! Sema zimeundwa kwa namna ambayo zinaweza kuhimili radi isisababishe madhara yoyote. Wakati zinaporuka eneo lenye mvua yenye radi kabla ya kuvuka mawingu huwa inatokea japo ni nadra. Kwa wastani kama ndege inaruka karibu kila siku basi inaweza kung'utwa angalau mara moja kwa mwaka na inapotokea ule umeme unapita tu na kutokea upande mwingine bila kusababisha uharibifu wowote kwa structure ya ndege na bila hata abiria kuhisi chochote!! Sana sana itaacha alama tu pale kwenye eneo ilipogonga kama ni bawa au pua ya ndege na hiyo ni kama radi ilikuwa kubwa sana yenye nguvu!! Vinginevyo hata alama huwezi kuona!
 
Kwenye fuselage (tumbo) la ndege kuna sehem inaitwa nose au pua ya ndege. Pale wameweka radioactive ambayo inasababisha radi kurepel inapo kitana na ndege. Ndio maana ukiwa ndani ya cockpit ( majogoo au chumba cha marubani) wakati wa mvua ya radi utaona miale ya radi inavyo diverge. Nafikiri nimeeleweka
 
Kijana pole sana. kumbe wewe bado panda ndege .... ndege inatembea juu ya mawingu. ukiwa kule wawingu unayaona kama pamba yakiwa chini. wewe unaona jua na mwezi nakama hujakunywa soda zao unaweza ukabahatika kuona malaika
 
Radi inapendelea mikoa yenye milima,pia kwa kanda ya ziwa na magharibi radi zingine n za ulozi
 
Ndege zinapigwa na radi wakati wa kutua na kupaa hasa zinapopita thunderstorms region, Maana wakati wa kupaa au kutua inakuwa iko chini ya miles 40 kwenda juu, na Mara nyingi formation ya radi fogs na masuala yote ya mvua hutengenezwa kwenye kimo ndani ya miles 40 kutoka sawa wa ardhi,
Lakin ndege nyingi za nasafa ya mbali uruka juu kabisa na mvua ikinyesha huwa ndege hainyeshewi, hivo hata radi ni vigumu kuipiga ikiwa isha take off,
Ila siku za karibuni ndege zina kitu au kifaa kinatwa on-board Doppler radar, hiki uwa against radi kimekuwa mounted kwenye ndege kwa same magnetic attractions na aina yeyote ya radi ili vikwepane,

Lakin mara nyingi marubani uruka juu ya 40 miles kwenda juu, kwa wanaopita ukanda wa Greenland au yeyote ambaye amewahi pita huko atajua kwamba kule marubani ulazimika kwenda juu sana kwa sababu ya thunderstorms and turbulence, utadhanj ndege inapita kwenye barabara rafu inavyocheza,

Hivo ndege zinapigwa radi kawaida kama Airfrance 330 ilipigwa na radi wakati wa kuruka Rio De Janeiro
luambo makiadi Jon Stephano
Britannica
 
Wataalamu wenu wa bongoland wanaojiita engineers hawajui jibu la swali hili.
Ni hivi:
Tuanzie majengo; yanalindwa na radi kupitia 'earth' ambayo inapeleka umeme wa radi ardhini.
Ndege nayo ina 'earth' ambayo inapeleka umeme wa radi hewani.
Kwa faida ya mleta mada meli nayo ina 'earth' ambayo inapeleka umeme wa radi kwenye maji.
Kwamba maengineers wa bongo hawajui ila wewe usiye engineer unajua, kwa hiyo hayo majengo marefu hapo kariakoo wewe ndie uliyeshauri ziwekwe hizo earth?
 
Kwanza kabisa lazima uanze kujua radi ni nini. Radi ni static charge yaan umeme tuli wenye nguvu kubwa. Ndege ina mfumo wa kupitisha hizo static charge ili zisilete madhara. Madhara yanategemea kiasi cha hizo static charge. Wakati mwingine ndege huweza kuchanwa. Kama wingu ambalo ndege haiwezi kulipita katikati basi rubani hupita juu yake na si chini yake ili kuiepuka radi ambayo umeme huu sifa yake ni kuelekea ardhini.
 
Ndege kupigwa na radi (lightning) ni kitu cha kawaida na kinatokea mara nyingi. Ya mwisho ni ya juzi kati involving Air New Zealand Flight No. 433. Bahati mbaya haikuua. Nyingine ni ile iliyopiga ndege ya Rais wa Ufaransa ( Francois Hollande) aina ya Falcon 7X wakati anaenda kukutana na Rais wa Ujerumani.
Kwa ufupi ndege kama ipo kati ya kilometa 2-5 inaweza kupigwa na radi.
Bahati nzuri haikuua, na sio bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom