Kwanini Prof. Kabudi amerudia hiyo kauli yake?

Kwanini Prof. Kabudi amerudia hiyo kauli yake?

Luther samwel

Member
Joined
May 20, 2020
Posts
85
Reaction score
43
Nilikuwa nafuatilia sana bunge lililopita na nikasikia kabudi amesema kwamba hakuna vita tulivyo shindwa katika historia alitaja nchi kadhaa ambao JWTZ wamewahi kufanya operation.

Katika diplomasia ya mataifa mbalimbali neno linalohusisha matukio ya jeshi humaanisha kwamba serikali iliyopo madarakani haitaki kukubaliana na sera za kimataifa hasa za magharibi.

Tujikumbushe kuhusu Baba wa Taifa alipokuwa kwenye mvutano na IMF na WB mwalimu akitengeneza vichwa vya wanasiasa ambao hata wangelinda sera za ujamaa wa taifa.

Sasa Kabudi anajaribu sana kutumia nguvu za kijeshi katika diplomasia siasa ambazo zimepitwa na wakati. Hii tuliizoea kwa nchi kama Iran na Korea sasa awamu hii inatokea hapa Bongo Mzee Makamba alitabiri kwamba watu watabatizwa kwa ubatizo wa 🔥 moto.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Wanajijua wao hawawezi kuathirika sababu wanaukwasi mkubwa wa hizo posho wanazolipana, ambalo ni jasho la wanyonge

Kabisa, utakuta tayari ana mgao wake mzuri kwenye hizo €27m, hivyo anakuwa mkali ili mzungu asichunguze hela yake. Nakumbuka kuna wakati Membe naye alikuwa mkali kwenye change ya rada baada ya waingereza kusema watairudisha kwenye NGO, walikuwa wanasema wanataka hizo hela zirudi serikalini ili wakanunulie madawati, lakini ziliporudi hakuna dawati walinunua bali walizigawana.
 
Pumbavu na mpuuzi mkubwa. Hukumsikia aliposema tutashirikiana na mataifa yanayo heshimu utu wetu na taifa letu kama dola huru?
 
Kabisa, utakuta tayari ana mgao wake mzuri kwenye hizo €27m, hivyo anakuwa mkali ili mzungu asichunguze hela yake. Nakumbuka kuna wakati Membe naye alikuwa mkali kwenye change ya rada baada ya waingereza kusema watairudisha kwenye NGO, walikuwa wanasema wanataka hizo hela zirudi serikalini ili wakanunulie madawati, lakini ziliporudi hakuna dawati walinunua bali walizigawana.
Hivi watu kama nyie mmesoma kweli?
 
Kwa mtazamo wako haina, lakini kwa mtazamo wa mtu aliye nje ya box, anajua kabisa huyo mzee ametokota.
Hii nchi inatakiwa isilinde uhuru wake kisa misaada? Utu wetu upotee kisa misaada?
 
Kwani tulipokuwa tunawasaidia Msumbiji, Namibia, Afrika kusini nk, sisi ndio tuliokuwa tunateswa? Kama hujui kwanini watu wanamichango hasi dhidi ya huo uhuni wa Kabudi bora ukae kimya.
Tumewazoea hata hili pia litapita hamjui mshike lipi!
 
Kwani tulipokuwa tunawasaidia Msumbiji, Namibia, Afrika kusini nk, sisi ndio tuliokuwa tunateswa? Kama hujui kwanini watu wanamichango hasi dhidi ya huo uhuni wa Kabudi bora ukae kimya.
Wameyataka maneno wenyewe wacha wajibiwe kwa maneno. Hakuna kukaa kimya

Wazungu wanajidai wanajua kutusema na kutusuta...... hivi wanatuona tumetulia hawatujui eee
Kauli moja tuu ya prof mnakanyagana😁😁😁

Watanzania pekee ndio watu wanaweza kukusema kwa maneno tuu hadi ufe. Kama hawaamini wakawaulize Aston villa yaliyowapata enzi za Samata au wamuulize yule mkandarasi aliyezimiaga kule Dodoma

Sisi ndio wabongo bhana
 
Hamna waziri humo.anajifanya ana uchungu na hii nchi Kama ya baba yake.
Mmewaibia kura wenzenu mnaambiwa mnajifanya wababe.wakate tu hyo misaada tuvurugane ndani kwa ndani
 
Attachments

  • 20201122_161633.jpg
    20201122_161633.jpg
    60.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom