May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,112
Sio tutofautishe utu na kutumia akili/busara?.Hii nchi inatakiwa isilinde uhuru wake kisa misaada? Utu wetu upotee kisa misaada?
Kwamba utu utapatikana kati ya Mswahili kwa Mswahili pekee?, kwani hakuna utu kati ya Mzungu na mswahili ?.
Sio kwamba sisi ndio tunakosa utu kwa kupokea pesa za Walipa kodi wa nchi nyingine bila kutekeleza kusudio la pesa hizo?.