Kuna kipindi hua natamani wazee wote wastaafu kutoka serikalini waachiwe vijana wanaoweza kwenda na kasi ya dunia. Wazee wengi wako slow sana, na waka ka mentality flani ka utumishi wa umma wa miaka ya 80
Kote tu katika ofisi za serikali wazee ni shida and slow. Kuna mmoja pale TRA Iringa, tena frontdesk, ni kazi.Watumishi wa umma ndo walivo..ufanyaji huo wa kazi ni tangu ujana,nilienda posta mjini,dar,nilitaka kumiliki sanduku,nimeingia hakuna wa kunikaribisha wala kunielekeza..
Kote tu katika ofisi za serikali wazee ni shida and slow. Kuna mmoja pale TRA Iringa, tena frontdesk, ni kazi.
Shida si umri...its a culture.Hata ttcl wazee wengi ndio kisa wanashindwa kukimbiza
Tatizoooo ni mfumo mzima Wa uongozi na system nzima ya utendaji. Hata wakija vijana system isipo badilika Usitegemee kuna mabadiliko yoyoteKuna kipindi hua natamani wazee wote wastaafu kutoka serikalini waachiwe vijana wanaoweza kwenda na kasi ya dunia. Wazee wengi wako slow sana, na waka ka mentality flani ka utumishi wa umma wa miaka ya 80
Wasiwaonee Wazee. Ukienda kufatilia mafao nccf unakutana na Wafanyakazi ambao wengi bado damu changa lakini mauzi ya hapo Ukiwa na hasira za karibu unaweza Mpiga mtu ngumi ya uso.Shida si umri...its a culture.