Naren
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 691
- 429
Yani watu wa I.T hapo tunasema "syntax error" yani anamakosa ya kiufundi katika uandishi hasa mpangilio wa maneno.Mkuu, kwa andiko lako hufanani na mtu mwenye wajihi uliojitanabaisha nao katika hii comment