Nilirusha thread humu nikiwaambia kuwa polisi haikuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wengi walinipinga na kunitukana, najiuliza hili, jana Mh. Lowassa alipokuwa akiongea na Mameya wa UKAWA/CHADEMA haukuwa mkutano wa ndani wa kisiasa? Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mtakuwa mmeelewa vizuri.