Kwanini polisi hawakuzuia mkutaano wa jana wa CHADEMA?

Aiseee Mamvi ni mtu ambae wengi wa wanacdm watamchukia kwa kauli yake kwamba cdm iache uanaharakat wa kutaka kuandamana wkt huko walixhatoka kitambo na sasa waje na wazo la kuchukua nchi bavicha wamechukiaajeee!!!!
CCM mnapanic sana kila Lowasa akiinua mdomo wake.
 
kabwe alikuwa amefukuzwa bungeni kuwa hiyo si dhani kama ilikuwa sahihi yeye aendeleze mijadala nje ya bunge!!kingine cha kujiuliza ni kuwa ni wapi mijadala ya bajeti inatakiwa ifanywe!!maana pale bungeni baada ya kujadili bajeti wanapiga kura kuikataa au kuikubali!!sasa ukiendesha mjadala nje ya bajeti Kuku uraiani wananchi unaowahubiria watapiga kura kuikubali au kuikataa bajeti?
Akili zako hazina akili...kwa hiyo ukifukuzwa bungeni huruhusiwi kujadili chochote juu ya nchi..?
 
Wewe akili uliyonayo inakutosha kuujua Mlango wa Choo ulipo basi....Unazungumzia mkutano wa Jana kuruhusiwa Arusha.. Hujui tar23/ waGamba wanakutana Dodoma ukuchukulia Madogo wa Cdm wamewasha moto ulitaka Polis wajitetee vipi kutozuia Mkutano wa Dodoma....!!!
Mkuu unajua humu watu wanadhani basi kwa vile kuna polisi basi wanaweza kufanya chochote. Wanashindwa kujua kuwa amani ikitoweka hata hao polisi watakuwa na wakati Mgumu. Mimi mfano nimepanga nyumba moja na polisi, halafu hao hao wamemuua ndugu yangu mwanachadema. Hivi naweza kumuuacha? Lazima nilipize kisasi tu. Polisi nao wanaogopa. Amani ikikosekana hawawezi kutimiza wajibu wao sawa sawa. BAVICHA walipowasha moto walidhani wanaongea tu. Sasa siku zinavyozidi kusogea wanaona vijana wengi wanazidi kuhamasika kwenda Dodoma. Ili kuneutralize hilo yawezekana wameona waje na kisingizio cha hatukuzuia mikutano ya ndani. Au baba Masunga aliona mambo yanaweza kuharibika asiongoze nchi vizuri akawapa maelekezo.
 
Kwahiyo wanachozuia ni mahafali ya BAVICHA na makongamano ya ACT tu? Hawa PoliceCCM wenu ni wanafiki. Wameruhusu mkutano wa jana ufanyike kwa ajili ya kuulinda mkutano wa CCM wa tarehe 23 Julai. Shutuma ya udikteta kamwe hawaiepuka hawa viongozi wetu wa awamu hii. Sasa wanaambulia aibu.
Mda ukifika utaelewa tu , ila kwa sasa bado huelewi.
 
Wewe akili uliyonayo inakutosha kuujua Mlango wa Choo ulipo basi....Unazungumzia mkutano wa Jana kuruhusiwa Arusha.. Hujui tar23/ waGamba wanakutana Dodoma ukuchukulia Madogo wa Cdm wamewasha moto ulitaka Polis wajitetee vipi kutozuia Mkutano wa Dodoma....!!!
Hata ikiwaje hakuna AMBAYE angeweza kuzuia mkutano wa Dodoma hiyo trh 23/7/016 BAVICHA wanajisumbua na wanajishushia hadhi mbele ya jamii tu.
 
Nilirusha thread humu nikiwaambia kuwa polisi haikuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wengi walinipinga na kunitukana, najiuliza hili, jana Mh. Lowassa alipokuwa akiongea na Mameya wa UKAWA/CHADEMA haukuwa mkutano wa ndani wa kisiasa? Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mtakuwa mmeelewa vizuri.
Mile kilikuwa no king kikao siyo mkutano!!! Jiulize chaso mtwara, Dodoma, Kilimanjaro why walizuiwa wakati walikuwa wakifanyia ndani na ni kwa mujibu wa chama kikatiba na kisheria???
 
Nilirusha thread humu nikiwaambia kuwa polisi haikuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wengi walinipinga na kunitukana, najiuliza hili, jana Mh. Lowassa alipokuwa akiongea na Mameya wa UKAWA/CHADEMA haukuwa mkutano wa ndani wa kisiasa? Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mtakuwa mmeelewa vizuri.
Tumia akili kidogo, ile ni justification na pia kulainisha hali kabla ya mkutano wao wa Dodoma.
 
Funika kombe...ili kuidhinisha ya 23 Julai.

Baada ya Mkutano wa CCM-Taifa, usishangae makatazo, matamko yakarudi pale pale.

Wanafanya hivyo kumfurahisha mtu mmoja tu: mteuaji na mtenguaji, mtumbua majipu....
 
mimi nafikiri bunge linapoendelea wabunge wanatakiwa wabaki bungeni kujadili humo humo bungeni!! ukiruhusu mbunge atoke ndani halafu aendeleze siasa nje ya bunge tena kuwa kutumia mikutano ya hadhala itakuwa fujo!!
Next time try to think not by using your legs!
 
kabwe alikuwa amefukuzwa bungeni kuwa hiyo si dhani kama ilikuwa sahihi yeye aendeleze mijadala nje ya bunge!!kingine cha kujiuliza ni kuwa ni wapi mijadala ya bajeti inatakiwa ifanywe!!maana pale bungeni baada ya kujadili bajeti wanapiga kura kuikataa au kuikubali!!sasa ukiendesha mjadala nje ya bajeti Kuku uraiani wananchi unaowahubiria watapiga kura kuikubali au kuikataa bajeti?
Unapoteza muda wako kueleza kitu kinachoeleweka. Ni dhahiri wewe hujielewi na kamwe hutaelewa kwa kuwa upo kutetea kitu kibaya kilichofanywa kwa makusudi na wanaokutuma ujidhalilishe. Katafute ulipouacha ubongo wako.
 
Uwe na kumbukumbu wewe. Kumbuka Zitto alikuwa amefurushwa kutoka bungeni. Akiwa amejaa jazba, hamaki na ghadhabu anaitisha mkutano wa ndani. Unafikiri angewapandikizia nini wasikilizaji wake kama si jazba, hamaki na ghadhabu iliyojaa ndani yake? Matokeo ya mwisho bila shaka yangekuwa ni kupandisha mihemko na mizuka na kuhatarisha amani na utulivu.
Acha upuuzi hapo ulipo una AMANI?
 
tatizo ni kwamba ni Mara chache sana chadema wanaendesha siasa za kistarabu!! mtu anaeneza uongo kujipatia sifa kuwa sababu anajua watanzania wengi hatujasoma na ni wavivu Wa kupambanua mambo!! unakumbuka jinsi chadema walivotudanganya eti Mh lowassa ni fisadi na ushahidi wanao??kiko wapi??
tumia akili kidogo hapo.CDM walisema lowasa ni fisadi ili ccm imchukulie hatua.ccm walichukua hatua gani?kumbuka wana jeshi,mahakama,jela,takukuru nk nk nk
 
Acha kukurupuka Tanzania ni nchi ya vyama vingi, hakuna yeyote yule awe Magufuli au Polisi mwenye haki ya kuzuia mikutano ya aina yoyote ya vyama vya upinzani iwe ni ya kikatiba au la na maandamano pia. Hakuna kipengele kama hicho ndani ya katiba ambacho kinampa uwezo Magufuli au Polisi kuzuia mikutano ya wapinzani.

Back
Top Bottom