Kwanini Polisi hawafugi ndevu?

Iko hivi; ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuna idara mbali mbali.
Mfano polisi wana CID ambapo askari akiwa kitengo hiki anaruhusiwa kufuga ndevu, rasta na mitindo mingine ya nywele. Kwa sababu hawakai kwenye paredi maalumu wakati wa viongozi au maafisa wakuu wakikagua na hawavai uniform za polisi.
Lakini kwa askari ya GD ( General duty) haruhusiwi kufuga ndevu kwa sababu anavaa uniform mara zote.

Jeshini ( JWTZ). Vitengo vya QRF/Special forces / Commando na MI ( Military intelligence) kwa sasa wanaruhusiwa kufuga ndevu ili kuongeza social camouflage wakati wa majukumu.

Usije na maoni ya namna hiyo mkuu, mambo yako tofauti kabisa.
 

 
Mi imeinishi iyo sheria tu askari kutokuwa na ndevu means ni utii na udogo! Unaweza kuwa unakula mtori mara gafla ukaitwa na mkuu wako kumbe mtori umebaki kwenye ndevu uchafu
 
Watakuwa wamajazana makafir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…