Kwa polisi sijui, lakini JW wako watu wanazo ndevu kama mtu wa uraiani hao ni wa kwenye majukumu maalum na Hili la jeshi si la kushangaza kule Kwa wenzetu zile special forces Kwa ground wote huruhusiwa kuwa na mindevu kama beberu, mfano Special forces tier one kama Delta force, Seal team six, Ranger huko US Wana mindevu ukikutana nalo Kwa ground unazimia maana ni show Tu hii ni hasa wale wa middle east deployment, mfano SAS wa Uingereza wao ndo waanzilishi wa Haya mambo hasa zile special forces...Naamini Polisi wetu wapi wenye midevu lakini huwa ni kwaajili ya kazi maalum Tu, lengo kujiingiza kwenye jamii husika. Huwezi kwenda kwenye misheni hivi hivi lazima uwe na muonekano wa kukubalika na jamii unayoenda kupiga kazi....ila hawa tunaowaona na magwanda ni mwendo wa kioo ikizidi sana ni za brashi.