zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,537
- 27,810
kujifariji muhimuKwani ukiongea maneno magumu na moyo utatulia?
kujifariji muhimuKwani ukiongea maneno magumu na moyo utatulia?
Kwetu anafanya, usiulize kwetu ni wapi.Umeshawahi kuona rais anafanya kampeni baada ya kuingia ikulu[emoji2] ?
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
True thatNafikiri ndoa na mahusiano vina uhusiano mdogo sana!sema ndo ushakua utamaduni kua uhusiano bora lazima u graduate into ndoa and all that hypocrisy.
Ukikubali matokeo ni rahisi hata mbwagaji kujitambua na kama anakuhitaji kijana kukuomba msamaha haya mambo ya kulazimisha mwisho mtu anakukinahi
Wewe hujawahi kuachana na mtu? Hebu tupe experience yako kwanzaHii huwa inanishangaza sana, unakuta watu wanaitana majina yote matamu matamu pale wanakuwa wapenzi lakini penzi likiisha majina yana kuwa kinyume cha yale ya kwanza.
Rafiki yangu alikuwa na mapenzi basi ilikuwa ni shida, utasikia love, honey, my man. Hivi karibu kabwagwa mara majina yamebadirika sasahivi ni yule malaya, dume suruali. Mara sitaki hata kumsikia.
Hapo sasa nashindwa kuelewa huo ulikuwa upendo wa kweli au maigizo?
Naomba kujuzwa
Ukikubali matokeo ni rahisi hata mbwagaji kujitambua na kama anakuhitaji kijana kukuomba msamaha haya mambo ya kulazimisha mwisho mtu anakukinahi