CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,998
Msasani - musa hassan,
chekereni - check train
dodoma - idodomya....
Kawe - Cow way!!
Msasani - musa hassan,
chekereni - check train
dodoma - idodomya....
Hakuna wa kumuamini zaidi ya kwenda kumuliza meya wa jiji la wewe soma ucheke siku iongezekeSasa tumuamini nani?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mala nyingi majina ya miji au mitaa uitwa majina ya watu mashuhuri wa kitaifa au kimataifa, ua kutokana na matukio yliyokuwa yanatokea sehemu husika. Naomba mwenye kujua jina Kariakoo lilitokana na nini anijulishe tafadhali.
Baada ya vita kuu ya dunia ya 2 Askari wa ki afrika waliorudi kutoka vitani waligawia Hilo eneo na pakaitwa carrier cops. Waswahili wakawa wanatamka kariakoo.
Kawe - Cow way!!
yah kuna hiyo ya carrier cops-ikawa kariakoo
what kind of rock-- ikawa kindoroko
long journey -- ikawa longijave
check line ---- chekereni
zipo nyingi sana yaani unaweza cheka ukawa huna mbavu
Carrier Cops maana yake ni Askari wasafirisha mizigo vitani(kwasasa watu wa mfano wao huitwa wabeba box)
Carrier Corpses: Watumwa waliokamatwa toka bara kituo kikubwa kilikua pale Kariakoo baadae walipelekwa Kilwa na kupandishwa ktk majahazi makubwa na kupelekwa Arabuni na kwingineko kwa ajili ya kuongeza nguvu kazi ktk viwanda.
Watumwa walitembea kwa miguu umbali mrefu sana wakiwa na mizigo ya pembe za ndovu hadi Kariakoo; Wengi wao hadi kufika Kariakoo, walikuwa wamedhoofu sana na kuitwa: Carrier Corpses - mizoga iliyobeba mizigo.
Hatimaye Waswahili wakaita sehemu hiyo Kariakoo, kwani hawakuweza kutamka vema maneno :CARRIER CORPSE.
Endelea kulinganisha ,zanzibar kuna makunduchi ,mtu haliwa (haliwi), mzuri hendi(haendi),mgeni haji,kiinua miguu,mfereji maringo,mwembe mimba!Hayo majina ya uko Zanzibar hata kuyatamka huwa napata ukakasi kinywani, lakini hata huku Tanganyika kuna Kunduchi.
Kawe - Cow way!!