Kwanini Oyster Bay hakuna makanisa ya KIROHO?

Kwanini Oyster Bay hakuna makanisa ya KIROHO?

Matapeli hawapati kitu kwa watu wenye akili zao waishio Oysterbay
 
Kinachonikera hayo makanisa ni magitaa na vinanda kupigwa jumatatu hadi jumapili muda wowote..... Sijui hata kazi wanafanya saa ngapi.

Hayo makanisa yawe pembeni mwa miji waumini wayafate huko
Kuna hela ya sadaka wapiga vyombo wanalipwa hakuna PAYE wala withholding tax inayokatwa....tena mwalimu wa kwaya anaweza akanunuliwa kwa usajiri mkuu na yule anaeleta mzuka kwenye nyimbo za sifa
 
Makanisa ye kiroho yanafuata masikini, maana wao ndo hutegemea miujiza ya pesa badala ya kufanya kazi
Ni sawa na Wislam tu kule Zanzibar, si unaona hawana la kufanya kutwa kucha wako vijiweni na misikitini wakinafikiana. na kupiga fimbo watu wanaokula kisa eti Muddy hataki.
 
Makanisa ye kiroho yanafuata masikini, maana wao ndo hutegemea miujiza ya pesa badala ya kufanya kazi
Kiwanja bil 5 .....waumini wa hali chini watafikaje huko ? Hakuna dala dala nyingi.....kufika kila sehemu....
 
Hujakaa na walokole wanaoamka usiku wa manane kusali.. Huwezi kulala

Japo kuna mitaa na nyumba zenye vibweka, wakipata mlokole wa kukemea huwa wanamshukuru Mungu 😁
Nshatokaga na taulo na ndoo ya maji imagine unalala unaskia
MOTOOOOO
MOTOOOOOOOOO
MOTOOOOOOOOOOOOOOO
 
Back
Top Bottom