Kwanini Oyster Bay hakuna makanisa ya KIROHO?

Kwanini Oyster Bay hakuna makanisa ya KIROHO?

Jana Mitaa ya Kawe Gari la mbagala likawa linashusha abiria (huku konda anatangaza Kawe kwa mwamposa tayari shukeni) .
Aisee watu waliokuwa wanashuka ki ukweli wanatia huruma. Wamefubaaa vibaya mno wamechoka sana.

Ndugu mwamposa bado unakuja wapuputisha hela zote walizokuwa nazo,(Anaenda kuzitoa hela zao mfukoni alafu wao wanapewa matumaini wanaondoka nayo)

Kuna watanzania wanatia sana huruma Kukosa maarifa na akili ya ulimwengu.
 
1743328145724.jpg
 
Kinachonikera hayo makanisa ni magitaa na vinanda kupigwa jumatatu hadi jumapili muda wowote..... Sijui hata kazi wanafanya saa ngapi.

Hayo makanisa yawe pembeni mwa miji waumini wayafate huko
Hujakaa na walokole wanaoamka usiku wa manane kusali.. Huwezi kulala

Japo kuna mitaa na nyumba zenye vibweka, wakipata mlokole wa kukemea huwa wanamshukuru Mungu 😁
 
Darussalaam mnalazimisha tu kujenga makanisa, huo mji tumewashawaambia ni wa waislamu, kama sio 90% basi 95% ya wakazi wa hilo jiji ni waislamu.
 
Huku hatutaki fujo kwani sisi si wajinga wala maskin wa kusubir miujiza.
 
Kuna maeneo ya wazi? Kuna nyumba au mapagara, magodauni, magofu?
 
Back
Top Bottom