JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. Zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. Mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.hizi ndizo dreams za wazanzibari
kuwa na mitaa kama hii ya Muscat
Hizi ndizo dreams za wazanzibari
Kuwa na mitaa kama hii ya Muscat
Na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. Kuna migahawa mingi hapa DSM ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani, pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. Wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. Hii dunia hii.Mkuu ndio zao hizo kwani wee ulikuwa huwajui....Weee zunguka zunguka tu utakutana na jitu bantu na jeusi anakwambia mi ni mwarabu wa Muscut (Na hata Oman hajafika hapo)...unabakia unamwonea huruma maana huwa kama wagonjwa wa akili ati.🙂
Mkuu ndio zao hizo kwani wee ulikuwa huwajui....Weee zunguka zunguka tu utakutana na jitu bantu na jeusi anakwambia mi ni mwarabu wa Muscut (Na hata Oman hajafika hapo)...unabakia unamwonea huruma maana huwa kama wagonjwa wa akili ati.🙂
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///
WEWE UTAKUWA UNAWAPIGA VIJEMBE K-TEA SHOP
LAKINI TAZAMA KULE OMAN WALIVYOKUWA WAMECHOKA
Muscut wanawaona Kama nyani lakini Ulaya na marekani kama masokwe na ndio maana huwa wanarushiwa ndizi na wengine kuwaita lugha za kibaguzi Kama niga negro n.k
Hili la Ulaya na america wanalofanyiwa watu weusi kwako ni sasa kisa ni magalatia wenzako!! Au umesahau miaka ya 80 mabwana zenu wazungu walivyo mpigisha Dada yenu paipu ya mbwa!!???
Wazungu nyinyi ndugu zenu wadamu hawawabaguwi si unaona hapa!????
http://revolution-news.com/wp-content/uploads/2014/06/BpMDAnQCMAA-4y8.jpg
Kumbuka hao maweita kwa mwarabu mwisho Wa siku wanalipwa mshahara wa kula na familia yao
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.
N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?
Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?
Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
ninachoshangaa, hizo hela za kujenga mitaa kama hiyo watazipata wapi, mafuta wanayodai yapo imekuwa confirmed hakuna hata tone la kujipaka, wanategemea utalii wakati wazungu wanaokuja kutalii wanawamwagia tindikali na wameanza kupungua soon hotel nyingi zitafungwa na wazanzibari watabaki wakitegemea mapato ya pesa za madawa ya kulevya au misaada inayotoka kwa magaidi. zanzibar haina future wakiondoka kwenye muungano. mtakuja kujuta na mtakuwa mmechelewa.
Yakhe, huyu mleta mada hakusema wazungu hawana ubaguzi ati! Yeye kasema waarabu na wazanzibar sasa kisa cha kuwaleta wazungu huku ni nini? Ukitaka anzisha mada ya ubaguzi wa wazungu tuchangie! Usiwe kama yule n'nyama wa kule kwenu ma-------chi!