Sio huko TU hatavmakampuni binafsi ilionekana una shida complex BADALA ya wao KUKUPA MTU WA kushugulikia jambo wanakuambia mtandao njoo kesho mfano Airtel, na vodaUkitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.
Kwa hii mitandao ya simu, kuna matatizo yanahitaji muda kuya angalia bosi, haya yanayohusiana na pesa.Sio huko TU hatavmakampuni binafsi ilionekana una shida complex BADALA ya wao KUKUPA MTU WA kushugulikia jambo wanakuambia mtandao njoo kesho mfano Airtel, na voda
Tatizo ni watoa huduma sio issue ya mfumo. Mifumo mingi ya kiserekali ipo vizuri, tatizo ni costumer care.Davidmmarista sekta ina wataalamu walio nondo au ndo walio nondo wapo klitaa walioajiriwa connection imetumika?
Vipi ofisi ya private mtandao upoje? Ndio maana kukawa na sera ya ubinafshajiUkitaka kushughulikia jambo lako lazima utenge takriban siku nzima, ni kuambiwa tu mtandao upo chini mara haupo sawa, tutafika kweli? Nachoka Mimi.