Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
mikakati 10 ya lowassa ili kufanikisha safari ya matumaini:
- kuhonga wajumbe wa vikao vinavyopitisha majina
- kuhonga waandishi wa habari
- kuhonga vikaragosi kwenye social media
- kugawa fedha makanisani
- kugawa fedha misikitini
- kugawa fedha vikoba
- kugawa fedha saccos
- kugawa fedha mashuleni
- kugawa fedha vibindo
- kugawa fedha bodaboda
Shule gani kaka,mbona unaanza kutudanganya wakati JF ina wasomi wengi?kama ni hivo then somo la historia halina faida mashuleni mana ni zaidi ya miaka 10.
Think before u say
Kama una ushahidi wa wizi wa lowasa basi mbona huendi kufungua kesi?Masikini wa nchi gani unaowaongelea? Lowassa si ndio aliyekuwa akiiba hela za mfuko wa maafa? Au umeshasahau mara hii?
Try to follow American politics boy, If you're full of scandals then forget about contesting for any position in America. The problem with Africans is that we like to overlook things like ethics and moral conduct from people who want to lead us expecting the best results from very same people at the same time.Immoral behavior and responsibility just don't fit in the same sentence.Vote Lowassa into the presidency at your own peril. Guess what?You've never learned the lesson from electing Kikwete!You're all acting like a bunch of sheeps heading yourselves into butcher house.Go ahead with your moronic plans.Nyerere was a good leader at the time with the time and for the people at that time, we should not be referreing to him for everything that happening now or in future as if he had super powers to predict and give us solution of the unfolds. Nyerere failed in many ways, for instance, once he gave us Mwinyi, then he said the wife was running the show. After, he went to make Mkapa the president, the guy sold everything we own, now our economy is in the hands of white folks. One more thing, if he knew and was sure Lowasa was corrupt, why he never forced his party to prosicute him? as he forced party to accept many things including Ujamaa, Arusha declaration etc. Lowasa might be a theif of the century, sick or even too old, but we should not base or selection of leaders on Nyerere's vission. He lived his life well and I am greatful for that, let us live ours now, history only enriches the futuure but it does not built it. It only make me sad to see everyone refering to Nyerere for everything. If you see leaders referring to someone all time time when making their point, that means they are not ready to lead, they are only spokespersons or representatives of the person they always refere to.
mikakati 10 ya lowassa ili kufanikisha safari ya matumaini:
- kuhonga wajumbe wa vikao vinavyopitisha majina
- kuhonga waandishi wa habari
- kuhonga vikaragosi kwenye social media
- kugawa fedha makanisani
- kugawa fedha misikitini
- kugawa fedha vikoba
- kugawa fedha saccos
- kugawa fedha mashuleni
- kugawa fedha vibindo
- kugawa fedha bodaboda
Mbona EL anawakosesha sana usingizi? Hivi ni nani msafi ndani ya ccm wa kumnyoshea mwenzake kidole?
Wezi wajinga wajinga ni wa kuwasamehe bure, maana hawana akiliKama una ushahidi wa wizi wa lowasa basi mbona huendi kufungua kesi?
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.