Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

sijakiona kigezo secific cha lowassa kua rais nchi hii na ndo maana hata afya yake inakataa
 
Bila Lowassa hii nchi itasimama kwa miaka mingine 10 bila maendeleo. trust me
 
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.
nadhani kwenye hivyo vitabu biblia na Quran lazima vimo kwani vina umri zaidi ya miaka 10......vmeandikwa na watu ujue!
 
hivi huyu mzee lowasa akikosa urais ....na alivyo mgonjwa vile na mabilioni aliyomwaga ...sijui hali yake itakuwaje .....na vurugu la humo ndani ccm sitaki hata kusikia wakimtosa huyu jamaa inaonekana watu wamechota hela zake sana
 
twenden tusahau ya nyerere we respect him he is not our god, can make mistakes like anyother human being. so we don cream for nyerere ideas and stand kama tunaona mtu ni mzuri lazima tumchague. sishangai ukiwa bumbuu..!! wtu hatakuzungumzia lakin ukiwa potential lazima upate changamoto kama lowasa. silipwi kama mnaokukuruka just my stand.
 
one say of lowasa will change rumours, we need more audio visual information not your imaginative narration(we needs video/clips).
 

Hili bandiko limeshiba!!!! Anayebisha aje aseme! Huo ndiyo ukweli kama anamasikio na asikie!
 

I wish to know more
 
Huyu Lowassa huyu.......ana tesa mioyo ya watu wengi sana......

Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.

Mbona EL anawakosesha sana usingizi? Hivi ni nani msafi ndani ya ccm wa kumnyoshea mwenzake kidole?

Lowasa ndio rais ajaye, hakuna cha nyerere wala nani. Nyere kisha kufa na usia wake hauna maana yeyote. Hii nchi itakaa sawa kama Lowasa atakua Rais.
Kutokana na ombi lako nilimtuma Kasori akuambie usiwe mjinga kama Lowasa...JK..
'Kutokana na comment zako naituma JF ikuambie usiwe mjinga kama .......'
 
Unajua sikuwahi kuwaza kwamba Lowassa anaweza kuwa raisi...

But mnavyomtajataja naona jina lake linazidi kupanda ngazi kwa list niliyo nayo kichwani...

Kila baada ya thread inayofuata ni Lowassa... daah
 
Hakuna kitu ambacho nakisubiri kwa hamu kama ccm kumsimamisha Lowasa uraisi 2015. Ukawa watakuwa na urahisi mno kwenye kampeni zao.
 
Wana CCM ! Kwa nini wagombea urais wa makundi yote na wafuasi wao wanaungana kumpiga vita vya kila aina Mhe.E. Lowasa ?
 
Alafu unafiki mwingine ni mbaya sana.Hivi Nyerere ni Mungu?Inamaana hakuwahi kukosea.Kwa hiyo kama nyerere alimchukia mtu basi wote tumchukie mtu huyo?Acheni kushikiwa akili nyie

uchawi ni mbaya kuliko vitu vingine,nyerere alilijua hilo lakini akaona ni sahihi,lowasa mcha Mungu kumbukeni nabii hakubaliki ni hila kisa yeye tajiri,sasa kawachia nini familia yake,mbona hakuweza kuwngua uwaziri mkuu aliopewa poor thinking ya wala viroba
 
Lowassa hatufai kabisaaaaà bora nchi iongozwe na Kapteni John Komba

Baba asiye wajali wanawe,hawezi kujali wa wengine uliza nyerere aliwaandaa wanawe waweje,mbona wote hawaeleweki ,je asingweza weza kutueleza yupi atuongoze kwa i kashindwa family ataweza taifa ,ndo maana edo alitaka kumtumaa
 
Naanza kazi rasmi ya kumfuatilia nyendo na mambo yote kuhusu lowasa huyu mzee yawezekana anashida fulani siyo bure kabisa.

Shida yake nini? uko out of context rudi kwenye kichwa cha huu uzi
 
Lowassa ni chaguo la mungu mtampinga ila hamtashinda, Ameanza Diallo na wengine mnaendelea siku zote mti wenye matunda ndo hupopolewa, Go go Edward
 
"Siku moja akitokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu" Mwl J.K. Nyerere

"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba, huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa watakupa" Jakaya Kikwete

"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, narudia tena, katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya" Benjamin Mkapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…