Kwanini nyama ya kitimoto ina bei kilo 7,000?

Kwanini nyama ya kitimoto ina bei kilo 7,000?

Hiyo itakuwa Dar, bei rahisi sana.. Sasa hivi kilo ni tshs 11000.
 
Ntakukamata tuu wewe, huu uzi unatusaidia nn kwa mfano. Kwani ungeandika wale wala chairfire mnakaribishwa kuna ubaya gani hadi uhusishe dini. Mtihani sana. Siku nikikutia mkononi ukuni unakuhusu.
FB_IMG_1550332405542.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom