MTAKA HABARI
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 123
- 149
Hii nyama inaonekana tamu sana? Kwa wale waswalihina hapa mpite tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hiyo ni nyanda za juu kusini,sijaona hizo butcher huku tangaHii nyama inaonekana tamu sana?kwa wale waswalihina hapa mpite tu.View attachment 1036941
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, ni kitimoto.
Hii nyama inaonekana tamu sana?kwa wale waswalihina hapa mpite tu.View attachment 1036941
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa mbeya tu ,kwa mara ya mwisho Dar ilikuwa elfu 12,000 maarufu kama kwa mama Kamche mwenge opposite na Kakobe ChurchHii nyama inaonekana tamu sana?kwa wale waswalihina hapa mpite tu.View attachment 1036941
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku bei rahisi sana.....nilipo mimi kilo 1 ni Tsh 9,000/= na inaisha kabla ya saa 12 jioniHii nyama inaonekana tamu sana?kwa wale waswalihina hapa mpite tu.View attachment 1036941
Sent using Jamii Forums mobile app