William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Thread starter
-
- #321
ukishapewa hiyo budget utaitumiaje, be specific please
..Kuna wizara mahsusi imeundwa na chama chako kwa ajili ya EAC-inaongozwa na Waziri Sitta. Unataka kusema wizara hiyo imeshindwa kazi hii ya msingi kabisa ya kuwaelimisha watanzania kuhusu EAC? Yaani wewe utakuwa na resources za kutosha kuelimisha watanzania kuliko wizara yenye bajeti maalum?
Alright let's hope Billy will respond into that
Usi complicate katika kujibu maswali kwa kutumia lugha ngumu jaribu kutumia lugha raisi. Ukitumia lugha ngumu hata maana itapotea- Nothing but good for micro-economy through the service suppliers who are going to be allowed to have a free movement of trade among the nations members, and yes there is a difference between one viza entry and free movement of people!
William.
- It is the about the principal of being out of the loop for a long time does it makes you unfit to lead? I don't think so
William.
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya?- Well, I do not know what the ministry has done so far, but I am here to make my case of what I would do if elected to the EAC, and will work with our ministry aggressively towards the goal of awareness!
William.
- Will travel allover our Nation and talk directly to people of EAC.
William.
- Well, I do not know what the ministry has done so far!
William.
William nimeshtushwa na habari kwamba wewe unataka kuwepo na free movement of labour! Hivi unaelewa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa kiasi gani?
Usi complicate katika kujibu maswali kwa kutumia lugha ngumu jaribu kutumia lugha raisi. Ukitumia lugha ngumu hata maana itapotea
katika swala la single entry visa kwa non ea member states. Tour operators watz hawalitaki kwa ajili watalii wengi watashukia kenya na halafu watakuja tz moja kwa moja
Na wao wata poteza mapato. Je vitu kama hivi na hiyo sera yako uta vi address vipi?
William you need to read a lot ili kuelewa haya mambo itakusaidia sana wewe, usikate tamaa kaza mwendo. Tafuta fear za watz ni nini?
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya? By now ulitakiwa useme unajua wizara wamefanya a,b,c,d na mapungufu yake ni haya na haya. Nakushauri nenda hapo wizara ya ea kuna vitu vingi sana vya kusoma na vitakusaidia
William nimeshtushwa na habari kwamba wewe unataka kuwepo na free movement of labour! Hivi unaelewa tatizo la ajira Tanzania ni kubwa kiasi gani? Unless ni special skills ambazo hazipatikani Tanzania sioni mantiki ya kufungua milango. Nenda popote, hata EU kwanza unatoka ajira nchini na kama hakuna hiyo skills ndio unaenda nje ya nchi.
Pili, hii fast track ya EAC ni mkosi kwa Tanzania. Lazima mambo yaende kwa hatua na lazima Tanzania ipate muda wa kurekebisha katiba yake kabla ya ku-sign hii mikataba ya EAC. Tulishang'atwa huko nyuma E/Africa Community, sasa tunakata kurudia makosa yale yale?
Yani mpaka siku ya kupiga kura. Hii thread itakuwa imempunguzia William kura zaidi ya 100! Mimi nilisema hafai watu wakaanza kunirukia Oooh nina chuki! Mara Oooh William ni mwenzetu hapa JF tumpe support! Mara Oooh ni kijana mwenzetu! Ona sasa tuendelee kumpa support kama hata Wizara ya Africa Mashariki hajui imefanya nini mpaka sasa hivi?
Hutakiwi kusema hujui what the ministry has done kwa ajili unaonyesha hujafanya research yeyote, labda kitu unachotaka kukifanya wizara wamesha kifanya?
By now ulitakiwa useme unajua wizara wamefanya a,b,c,d na mapungufu yake ni haya na haya.
Nakushauri nenda hapo wizara ya ea kuna vitu vingi sana vya kusoma na vitakusaidia
- This is nothing but hatred which does not bother me, I have showed you who I am what is my education and work experience, and I am still going to show you and others what I stand for as far as EAC is concerned, I have made it very clear that I support One Viza cause you cannot integrate into a Federation and form a giant economic block without your citizens moving freely within the Community, and if we have a problem with one viza, then it is about time now we pull out of the Community!
- I SUPPORT ONE VIZA, BUT IT HAS TO BE DONE CAREFULLY.
William.
Tumbiri, kukaa nje ya Tanzania siyo sababu ya kutokujuwa shida za watanzania.
Mimi ninaweza kukutajia shida za mtanzania zote na uniambie kama zimebadilika na ni lini zimefanya hivyo.
Nafikiri unachanganya isue ya common visa na movement ya wananchi wakawaida, hadi leo people from this block are freely roaming.
COmmon VISA ni kwa ajili tuseme ya Ma-NIGERIA, WAMAREKANI, wa-Ulaya nk. Sasa naomba utueleze free movement ya mnigeria ama m marekani itasaidia vipi uchumi kukua?
Ask those who knows me will tell you of how you are wasting your time here with your never ending rants! The campaign is going great and we are almost there, so fasten your belt!
William.