Kwanini ni rahisi kumpata mwanamke mwenye mtoto

kuna kitu i guess kuhusu mwanamke akishajifungua...

labda kwenda leba na kulia kwa uchungu huku akiwa uchi mbele ya watu kadhaa

kunamfanya ajiulize tena.....faida za kuficha uchi saana..mwishowe madaktari wanakuona uko uchi for free...

mwishowe anaona kumbe 'sio big deal'...

lnawezekana kabisa Hii idea ya The boss ikawa kweli kabisa......
 
Kuwa na mtoto na kutokuwa na mtoto kunategemea na DEPRECIATION ya mwili. Si unaona Zari na Penny na Wema. Zari is 41, mother of 4 lakini ukimuweka na kina Penny watoto wa 20s anawatoa KNOCK OUT vibaya mnooo kimuonekano. Unaweza usizae ukajiachia. Sema tu tusemage ukweli ukizaa bwana Nyonga ina tanuka hata ufanye vipi. Katika hili mwanamke aliezaa hawezi kuwa sawa na kigori hata siku moja.

Mwanaume wa aina gani tunamuongela. Mfano kama mwanaume na wewe una watoto mwanamke aliezaa huwezi kuona big deal. Au kama ni mwanaume wa uswazi kwetu ambapo kuzaa sio ishu unajione kawida tu, kazaa so what? Au umelelewa na single mother, nothng was wrong with your mother. Au wewe mwenyewe ni ka bastard, so ulizaliwa nje ukalelewa nje huwezi kuona mtoto ni issue.

Experience ya mtu, unaweza kuwa unatoka na vigori lakini vina kupasua kichwa kila uchao. Au mtu mwenye vitu unavo vihitaji a.k.a soul mate ndo alisha zaaga. Huwezi kuona ishu sanaa ukizingatia mwenyewe umehangaika sanaa.

Lara inamaana sie tuliozaliwa na singo mother hatuna haki? Mtoto haramu ni yupi na anaalama gani duniani? wewe unahakika gani kaama hauko ktk hilo kundi? sometimes midomo ivae chupi...
 
Jamani ka hill nano bastard limeku panikisha zikasirikie DICTIONARY! Wapi nimesema Hamna haki? Haki ya nini? Mimi niwemo nisiwemo kundini THE WORD REMAINS IN THE DICTIONARY. Obama kawa bastard na neno halijatoka. Waliotakiwa kuvaa Chupi ni wahenga sio mie. Dressing the fact dsnt change the fact. Sometimes not everything is about you try not to take things personal.
 
Wanawake waliozaa wepi? Maana wapo waliozaa ambao ni wake za watu, wapo pia waliozaa ambao si wake za watu. Kama waliozaa ambao ni wake za watu "kuna ulahisi wa kuwapata". Ndoa nyingi zimekuwa hazina amani na faraja kwa wanandoa (peace in mind). Kiasi kwamba wanatafuta wapi watapata faraja Lau kwa muda.
 
Kuwa na mtoto na kutokuwa na mtoto kunategemea na DEPRECIATION ya mwili. Si unaona Zari na Penny na Wema. Zari is 41, mother of 4 lakini ukimuweka na kina Penny watoto wa 20s anawatoa KNOCK OUT vibaya mnooo kimuonekano. Unaweza usizae ukajiachia. Sema tu tusemage ukweli ukizaa bwana Nyonga ina tanuka hata ufanye vipi. Katika hili mwanamke aliezaa hawezi kuwa sawa na kigori hata siku moja.

Mwanaume wa aina gani tunamuongela. Mfano kama mwanaume na wewe una watoto mwanamke aliezaa huwezi kuona big deal. Au kama ni mwanaume wa uswazi kwetu ambapo kuzaa sio ishu unajione kawida tu, kazaa so what? Au umelelewa na single mother, nothng was wrong with your mother. Au wewe mwenyewe ni ka bastard, so ulizaliwa nje ukalelewa nje huwezi kuona mtoto ni issue.

Experience ya mtu, unaweza kuwa unatoka na vigori lakini vina kupasua kichwa kila uchao. Au mtu mwenye vitu unavo vihitaji a.k.a soul mate ndo alisha zaaga. Huwezi kuona ishu sanaa ukizingatia mwenyewe umehangaika sanaa.

Duh! Zari ni 41? Aiseeee. Bado Yuko kwenye order sana kimuonekano.
 
kuna kitu i guess kuhusu mwanamke akishajifungua...

labda kwenda leba na kulia kwa uchungu huku akiwa uchi mbele ya watu kadhaa

kunamfanya ajiulize tena.....faida za kuficha uchi saana..mwishowe madaktari wanakuona uko uchi for free...

mwishowe anaona kumbe 'sio big deal'...

na waliofanyiwa operations na huo uchungu hawauju???
 
Hii inategemea na hali halisi ya uchumi ya mwanamke.
Inapotokea mwanamama amezaa nje ya ndoa na mwanaume kuingia mitini ni rahisi kwake kujirahisi kwa wanaume ili apate kipato cha kumtunza mwanae.

Tofauti na mfano wa Zari kama mdau mmoja alivyosema yule ni economic independent.
Anachotafuta ni mtu wa kumliwaza tu, matunzo ya wanaye hayamuhusu mwanaume.
 
kuna kitu i guess kuhusu mwanamke akishajifungua...

labda kwenda leba na kulia kwa uchungu huku akiwa uchi mbele ya watu kadhaa

kunamfanya ajiulize tena.....faida za kuficha uchi saana..mwishowe madaktari wanakuona uko uchi for free...

mwishowe anaona kumbe 'sio big deal'...

hayo ni mawazo yako
 
mwanamke akishazaa anaona papuchi yake haina maana tena.
 
Hii mada Ina makengeza hivi.

Ina maana hata mama yako pia umemjumlisha? Maana ana mtoto ambaye ni wewe.

Au una maanisha wanawake waliozaa kabla ya kuolewa? yaani wamezaa wakiwa kwa wazazi/walezi?
 
Kwa kuwa mnawadharau wanawake wenye watoto,naomba nibadili mtazamo naanza kuwapenda na kuwathamini sasa alaaaaa???
Na akitokea mmoja akawa mkali akanikoleza naweza hata mfanya mke wa pili(ingawa dini hairuhusu).

Don't take this too serious.
 
Hii inategemea na hali halisi ya uchumi ya mwanamke.
Inapotokea mwanamama amezaa nje ya ndoa na mwanaume kuingia mitini ni rahisi kwake kujirahisi kwa wanaume ili apate kipato cha kumtunza mwanae.

Tofauti na mfano wa Zari kama mdau mmoja alivyosema yule ni economic independent.
Anachotafuta ni mtu wa kumliwaza tu, matunzo ya wanaye hayamuhusu mwanaume.

Naunga mkono pointi yako.
 
kuna kitu i guess kuhusu mwanamke akishajifungua...

labda kwenda leba na kulia kwa uchungu huku akiwa uchi mbele ya watu kadhaa

kunamfanya ajiulize tena.....faida za kuficha uchi saana..mwishowe madaktari wanakuona uko uchi for free...

mwishowe anaona kumbe 'sio big deal'...

Duh!

Hii theory yako ni kali ya mwaka!
 
Duh!

Hii theory yako ni kali ya mwaka!

Anza chunguza now.....
hata madaktari wanakwambia 'wapo wanawake wakishavua nguo kimatibabu'
wanakuwa 'so easy' wakiombwa sex

like kama vile 'nisimpe wakati kashaiona na kuigusa vya kutosha'...
 
Tunachoshwa na topics zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom