Kwanini ni rahisi kumpata mwanamke mwenye mtoto

Kwanini ni rahisi kumpata mwanamke mwenye mtoto

Lara inamaana sie tuliozaliwa na singo mother hatuna haki? Mtoto haramu ni yupi na anaalama gani duniani? wewe unahakika gani kaama hauko ktk hilo kundi? sometimes midomo ivae chupi...

Ndugu, soma vizuri comment ya Lara 1 na uielewe.
 
duuu mi napenda wanawake wenye watoto sana sana..
 
Jiulize hili why mdada kama hajawahi kunyonyesha ni ngumu kuacha titi wazi
but mama anae nyonyesha ni kawaida sana..

kawaida yako hii imekaaje.....?...kwamba anatembea maziwa wazi....ama mtoto akiwa analia anampa nyonyo......? sijaelewa hapa .....
 
kuna kitu i guess kuhusu mwanamke akishajifungua...

labda kwenda leba na kulia kwa uchungu huku akiwa uchi mbele ya watu kadhaa

kunamfanya ajiulize tena.....faida za kuficha uchi saana..mwishowe madaktari wanakuona uko uchi for free...

mwishowe anaona kumbe 'sio big deal'...

Sasa na yule ambae hajazaa ila kachoropa mimba na yeye si kaacha uchi wazi kwa aliemtoa mimba (daktari) au hao unawaongeleaje!?
 
tatizo lako unapenda vitu rahic rahic tu hutaki usumbufu wa kufuatilia
Mkuu ligera sio usumbufu hawa yaani wana ko.jo.a fasta na zinaruka equivalent to men,hawa wasio na mtoto ni majimaji tuuu hawajui hata ku.k.o.j.o.a,wakilowa tuuu eti tayari,ndo maana mi siwafagiliiiiiiii
 
Back
Top Bottom