Kwanini ni muhimu kumpiga mkeo?

Kwanini ni muhimu kumpiga mkeo?

Mleta mada nae inawezekana katoka ktk familia iliyomfundisha kupiga mke . .

Hivi ni makabila gani yanapenda saaana kubonda wake zao . . ? !
Mi kanda ya ziwa kweli....lkn mi siwez kuchekwa nimemuacha mke kisa hajui kupanga budget wala kubeba hasira moyoni
 
Kwanini mnawawazia mabaya wanawake? Hayo ni maua mazur kutoka kwa Mungu yenye kuipendezesha Dunia,pia wao ni chakula na ni sehemu ya kutulizia nafsi na cyo punching bags
 
Kama hakuelewi kwa mdomo si muachane

Kipigo kikipelekea majeraha au umauti si utaozea magereza

Kama wazazi/walezi wake wameshindwa kumrekebisha wewe utaweza?
 
Huwa kuna kafimbo chembamba fupi kiasi hapa unasubiri watoto wametoka unampa zawadi kama viwili inatosha kumkumbusha kuwa yupo kwenye ndoa
 
Niko against watu wazima kupigana!!! Mtu mzima kama hakuelewi kwa kuongea tu, ata ukimpiga habadiliki. Zaidi unamtengenezea woga na kumuharibu kisaikolojia.

Ila bwana kuna wanawake wanakera!!! Yaani kuna kile kiburi mzizi wake kama mti wa ubuyu!!! Bibi yangu alikua anabamizwa na babu lakini wapi!!! Ana maneno ya kuamsha mapepo!!!
 
Tulikuwa na jirani zetu wao kupigana ilikuwa mara tatu au nne kwa wiki.Wakianza kupigana mwanamke analia kwa sauti kubwa kuomba msaada.
Watu wakifika eneo la tukio wanakuta mwanamke analia kwa kwikwi na mwanaume anajitamba....'ningekuuwa mimi'......Lakini ukiwaangalia hutaona jeraha kwa mke ila manundu na damu za kutosha kwa mume.

Watoto ndio walikuja kutoboa siri kuwa Mama yao ndiye anayemshushia mdingi kipigo.Siku hizi wameshaacha kupigana maana mwanaume alihama pale home akabaki mke na watoto.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale unapojigundua mkeo ana akili kukuzidi na uliambiwa utumie akili kuishi nae ndio mabavu inabidi yatumike. MWANAUME kiumbe kinachoelekea kupotea kama tembo wetu.
Kipigo mhm ww na huwez kumfundisha mwnaume kuishi na mwanamke wkt ww mwenyewe mwanamke...jiulize kwann dunia zima wanaume ndo wanapiga wanawake jibu ni kero zenu ...ukijua hilo ww punguzA kero kwa bwana ako.
 
Niko against watu wazima kupigana!!! Mtu mzima kama hakuelewi kwa kuongea tu, ata ukimpiga habadiliki. Zaidi unamtengenezea woga na kumuharibu kisaikolojia.

Ila bwana kuna wanawake wanakera!!! Yaani kuna kile kiburi mzizi wake kama mti wa ubuyu!!! Bibi yangu alikua anabamizwa na babu lakini wapi!!! Ana maneno ya kuamsha mapepo!!!
Nashukuru wewe umenielewa sasa mnk usipopigwa utasalitiwa au kutelekezwa...mnk uwez muacha mke kisa kiburi
 
Kama hakuelewi kwa mdomo si muachane

Kipigo kikipelekea majeraha au umauti si utaozea magereza

Kama wazazi/walezi wake wameshindwa kumrekebisha wewe utaweza?
Hivi unaona ni rhs kumuacha mke kisa hakuelewi?unaita kikao kabisa cha ndugu eti?
 
Kipigo mhm ww na huwez kumfundisha mwnaume kuishi na mwanamke wkt ww mwenyewe mwanamke...jiulize kwann dunia zima wanaume ndo wanapiga wanawake jibu ni kero zenu ...ukijua hilo ww punguzA kero kwa bwana ako.
Una hakika dunia nzima wanaume ndio wanapiga wanawake? Tumia akili japo kidogo tu.
Unadhani nyie hamna makero yenu tena ya kiwango cha PHD!!!!
 
ngoja nipite...naona bundle linataka kukata...ila nitarudi
 
Back
Top Bottom