Mimi nimemwelewa mtoa mada ni kwamba mbona Mwanachi wanaonekana wako mstari wa mbele kuliko vyombo vi gine??ndio maana anahimiza na vyombo vingine vijikite MKIRU pia
Je kuna uhusiano wowote wa kupotea kwake? Je tunakumbuka kuwa serikali kupitia jeshi la Polisi ilisema taarifa zote kuhusu Kibiti zitakuwa zikitoka kwake na sio vinginevyo? Je kwa nini? Na kwanini mwandishi huyu aliendelea kubaki huko huko Kibiti?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.