Kwanini ngono na mapenzi zimetutawala sana?

Habari zenu wanaJamiiForums,

Nimekuwa nikijiuliza kwanini ngono inatawala sana kwenye vichwa vya watu wengi hata stori za mapenzi zinapendwa sana na hua zinaambatana na hisia za kingono. Kuna kitu gani kibaolojia kinazalishwa kwenye miili yetu na kuifanya muda wote watu wapende ngono au mapenzi.

Mapenzi yanatoka wap na kwanini yanavutia sana kwenye fikra zetu kuliko hisia zingine zozote kama kuogelea, kucheza mpira, hisia za kujisomea.

Wataalamu hebu mje na sababu za kibailogia au kitheolojia kususu mapenzi kutawala fikra za wanadamu wengi na kuna wengine wanakuambia hakuna raha duniani kama kufanya mapenzi.

Inakaaje hapo wakuu.

Nawasilisha
Nature ya kuiendeleza dunia na kuijaza pia
 
✅MZUNGU akiamka asubuhi anashika kichwa anawaza atapata wapi.
✅Mhindi Akiamka anashika Tumbo anawaza atakula nini.
❌Mwafrica akiamka tu anashika Kwa Babu/Bibi we unafikiri atafikiria nini zaidi ya Mikasi?
 
Habari zenu wanaJamiiForums,

Nimekuwa nikijiuliza kwanini ngono inatawala sana kwenye vichwa vya watu wengi hata stori za mapenzi zinapendwa sana na hua zinaambatana na hisia za kingono. Kuna kitu gani kibaolojia kinazalishwa kwenye miili yetu na kuifanya muda wote watu wapende ngono au mapenzi.

Mapenzi yanatoka wap na kwanini yanavutia sana kwenye fikra zetu kuliko hisia zingine zozote kama kuogelea, kucheza mpira, hisia za kujisomea.

Wataalamu hebu mje na sababu za kibailogia au kitheolojia kususu mapenzi kutawala fikra za wanadamu wengi na kuna wengine wanakuambia hakuna raha duniani kama kufanya mapenzi.

Inakaaje hapo wakuu.

Nawasilisha
unamaanisha nini, au ndo hayo ya katerero waliyoambiwa watu wa eneo fulani? nani sasa unamsema kuwa kichwa chake kimejaa ngono? funguka.
 
Amini usiamini, sababu kubwa ni kuwa hiki ni kizazi cha zinaa. Ni kizazi cha watu waovu, watu wasiojali na wasiozingatia maagizo ya Mungu.

Kizazi cha leo kimetawaliwa na zinaa. Kimevamiwa na pepo la ngono. Shetani amefungulia mapepo ya uzinzi ambayo yanawafanya wanadamu wapende sana ngono. Moja ya njia ya kueneza uzinzi ni kuvaa mavazi yanayotamanisha.
 
Back
Top Bottom