Siyo kila mtu anapenda ngono. Watu wanatazama sana Days of our Lives,na The Bold and the beautiful,na sunset beach,halafu wanadhani kila mtu anapenda ngono.
Ganesh,
Kwanza kuna tofauti kati ya ngono na kujamiiana kadiri ninavyoelea mimi.Kujamiiana is more inclusive na hata wanandoa hujamiiana, ngono ni nje ya ndoa / carries a connotation of illegitimacy.
Ni kweli si kila mtu anapenda ngono au hata the more inclusive kujamiiana.Ukishaweka "kila" katika sentensi, either itahitaji further qualification au haitakuwa sahihi. Ulimwengu hauna absolutes, hatuwezi hata kupata an absolute nothing, absolute vacuum.I am talking the physical form of course, when you get to the astral level that is something else.
Nafikiri the underlying question ni kwamba, kwa nini binadamu collectivelly na species nyingine nyingi tu, wanapenda kujamiiana?
Hili swali ni sawa sawa na kuuliza kwa nini binadamu anapenda kula.In essence there is an underlying Darwinian construct at play.And at the anthropic level, swali linaweza kuulizwa tu katika ulimwengu ambao binadamu wanapenda kujamiiana, kwa sababu kama binadamu wasingependa kujamiiana basi the human race ingekufa na kusingekuwa na muulizaji swali wala swali.
Kwa hiyo, mtu anaweza kusema kuwa evolution imefanya binadamu, kwa kuwa wanapenda ngono, waweze kuzaliana.Inawezekana kuna species nyingi zilizokuwa hazipendi sana kujamiiana, kwa sababu hazikujamiiana sana, hazikuzaliana sana, kwa sababu hazikuzaliana sana, zikaishia kwenye extinction.
Lakini wengine wataikataa hii explanation kwa kuwa iko rather anthropic, inaeleza ulimwengu kama ulivyo badala ya kutoa sababu, ambalo ndilo swali lenyewe.
Nafikiri binadamu yuko mentally conditioned ku respond to stimuli, mtu anaona kitu, ma testosterone / estrogen levels yanapanda, next thing you know jongoo anapanda mtungi bila hata mtu kujijua.Mambo mengine ni involuntary animalistic instinct.
Kwa wanaoamini mungu watasema mungu ametuumba hivyo, kama alivyotupa njaa, ili kuhakikisha kwamba tunaendelea kuzaliana kwa kujamiiana, au hatufi kwa njaa kwa sababu tutasikia njaa na kula.
Kwa tusioamini mungu tutasema ni matokeo ya evolution, na deep down tuko wired ku preserve species, na part the reason we are this far ni kwa sababu tuna respond to these stimuli.