Kwanini Ngono inapendwa na kila Binadamu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Ngono inapendwa na kila Binadamu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Jun 11, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya Ngono kupendwa sana(hata mimi naipenda) na kuonekana ndio msingi mkuu wa utafutaji mali.Hivi ukiacha ngono unaweza kudhurika?Manufaa yake ni nini hasa?Kama ni muhimu sana kwa binadamu kuna haja ya kuruhusu biashara ya Ngono ili kuipatia serikali kipato?Tushirikishane wana JF juu ya utamu huu wa Ngono unaofanya kila Binadamu aipende.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,008
  Trophy Points: 280
  Bwana ehh...
  Ile kitu ni tamu mno...
  Hasa ukipata ya mtu anayekupenda...
  Ngono na umalaya nadhani ni vitu tofauti...
  Umalaya ndio usiruhusiwe kwa ajili ya kuiongezea serikali yetu kipato.
   
 3. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kweli ni tamu hasa ule mkao wa kuku wa kuoka.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:) kidogo kidoooogo dhamira inakupeleka kwenye mambo ya kikubwa...
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama binadamu wangekuwa hawapendi basi wote tusingekuwepo.

  Albeit the answer is kind of anthropic.
   
 6. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  sio binadamu peke yake.mpaka wanyama.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  kwani binadamu si wanyama?
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hii kitu inaitwa Ngono imeumbwa lakini ikawekewa utaratibu wake. Yaani mpaka uoe au uolewe ndio unanihii kwa kujirusha. Na ndio maana kwa watu wenye ndoa huwa sio issue sana, ila kwa vicheche na manungayembe ndio nahau nyingi utazikia. Hata hivyo nikinuu Biblia hapo chini utaona watu waliokuwa wanapeana bila utaratibu walikuwa wanaadhibiwa (Deuteronomy 22:21-24). Na pia ukiwa na jambo lako ukikamia ufanikiwe unatakiwa ufunge ngono kidogo (Exodus 15:19)


  21 she shall be brought to the door of her father's house and there the men of her town shall stone her to death. She has done a disgraceful thing in Israel by being promiscuous while still in her father's house. You must purge the evil from among you.
  22 If a man is found sleeping with another man's wife, both the man who slept with her and the woman must die. You must purge the evil from Israel. 23 If a man happens to meet in a town a virgin pledged to be married and he sleeps with her, 24 you shall take both of them to the gate of that town and stone them to death—the girl because she was in a town and did not scream for help, and the man because he violated another man's wife. You must purge the evil from among you. [Deuteronomy 22:21 - 24 KJV]

  15 Then he said to the people, "Prepare yourselves for the third day. Abstain from sexual relations." [Exodus 19:15 KJV]
   
 9. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  wanyama ni viumbe vingine vyote ukitoa binadamu.
   
 10. B

  Bibi Kizee JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  'NGONO' unamaanisha nini? NDOA? UZINZI? or what? kama ni ndoa ina taratibu zake na sidhani kama inaweza kuwa biashara, upande mwingine mhhh naona tunaenda mbali!
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hadi amoeba na algae?
   
 12. a

  albert solla Member

  #12
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa kaka hasa ukisoma maneno ya Mungu utakuta kwamba hata hiyo kitu inaruhusiwa kwa wakati wake fanya kuna mwana jf mmoja ndo maana kasema wa ndoa hawaoni issu sana (NDOA NA IHESHIMIWE NA KILA MTU).
   
 13. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Namaanisha lile tunda la katikati ni tamu kuliko chochote kile na hupendwa na Watu wote.Kuna kitu kingine cha kulinganisha nayo?
   
 14. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Sawasawa!
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kamuulize Mungu
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Watu "wakijamiiana" ndani ya ndoa nayo ni ngono? Mimi nilikuwa nafikiri matumizi ya neno hili yanaishia kwenye kujamiiana nje ya ndoa.

  Kama kujamiiana ndani ya ndoa si ngono basi hiyo heading inahitaji masahihisho kwa sababu kuna wengi walio waaminifu katika ndoa zao.
   
 17. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #17
  Jun 12, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Siyo kila mtu anapenda ngono. Watu wanatazama sana Days of our Lives,na The Bold and the beautiful,na sunset beach,halafu wanadhani kila mtu anapenda ngono.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,567
  Trophy Points: 280
  Hapo umesema kweli kabisa. Ni kweli tendo hili huwa unalifurahia sana ukiwa na yule uliyempenda moyoni mwako kwa mapenzi ya kweli. Sidhani kama kunakuwa na same enjoyment ya tendo hilo kwa wale ambao hufuata machangu doa ukilinganisha na wale wafanyao na wale wanaopendana nao kwa dhati kabisa.
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ganesh,

  Kwanza kuna tofauti kati ya ngono na kujamiiana kadiri ninavyoelea mimi.Kujamiiana is more inclusive na hata wanandoa hujamiiana, ngono ni nje ya ndoa / carries a connotation of illegitimacy.

  Ni kweli si kila mtu anapenda ngono au hata the more inclusive kujamiiana.Ukishaweka "kila" katika sentensi, either itahitaji further qualification au haitakuwa sahihi. Ulimwengu hauna absolutes, hatuwezi hata kupata an absolute nothing, absolute vacuum.I am talking the physical form of course, when you get to the astral level that is something else.

  Nafikiri the underlying question ni kwamba, kwa nini binadamu collectivelly na species nyingine nyingi tu, wanapenda kujamiiana?

  Hili swali ni sawa sawa na kuuliza kwa nini binadamu anapenda kula.In essence there is an underlying Darwinian construct at play.And at the anthropic level, swali linaweza kuulizwa tu katika ulimwengu ambao binadamu wanapenda kujamiiana, kwa sababu kama binadamu wasingependa kujamiiana basi the human race ingekufa na kusingekuwa na muulizaji swali wala swali.

  Kwa hiyo, mtu anaweza kusema kuwa evolution imefanya binadamu, kwa kuwa wanapenda ngono, waweze kuzaliana.Inawezekana kuna species nyingi zilizokuwa hazipendi sana kujamiiana, kwa sababu hazikujamiiana sana, hazikuzaliana sana, kwa sababu hazikuzaliana sana, zikaishia kwenye extinction.

  Lakini wengine wataikataa hii explanation kwa kuwa iko rather anthropic, inaeleza ulimwengu kama ulivyo badala ya kutoa sababu, ambalo ndilo swali lenyewe.

  Nafikiri binadamu yuko mentally conditioned ku respond to stimuli, mtu anaona kitu, ma testosterone / estrogen levels yanapanda, next thing you know jongoo anapanda mtungi bila hata mtu kujijua.Mambo mengine ni involuntary animalistic instinct.

  Kwa wanaoamini mungu watasema mungu ametuumba hivyo, kama alivyotupa njaa, ili kuhakikisha kwamba tunaendelea kuzaliana kwa kujamiiana, au hatufi kwa njaa kwa sababu tutasikia njaa na kula.

  Kwa tusioamini mungu tutasema ni matokeo ya evolution, na deep down tuko wired ku preserve species, na part the reason we are this far ni kwa sababu tuna respond to these stimuli.
   
 20. e

  ejom Member

  #20
  Jun 12, 2009
  Joined: Jan 19, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  sio kila bindamu,masister na mapadri wakikatoliki hawpendi
   
Loading...