Kwanini ndugu zetu wapemba hawana vichogo?

Kwanini ndugu zetu wapemba hawana vichogo?

Kwa kawaida kichogoni ndipo kwenye medula oblangata. Sasa kunapokua hakuna kichogo,medula oblangata huwa ina nafasi ndogo-limited space-hivyo ubongo nao huwa mdogo. Hiyo huchangia uwezo wa akili pia kuwa mdogo. Kumbuka tafiti za kisayansi zasema kadri ubongo unavyokua mkubwa ndio uwezo wa kiakili huwa mkubwa. Nimejibu kisayansi zaidi.

Kwa msemo huo basi ni waz kuwa tembo na nyangumi watakuwa na akili kuliko binaadam ?!!. Hyo itakuwa inakinzana na msemo wa kuwa mwanadamu ndiye kiumbe mwenye akili kuliko viumbe vyote kuwahi kutokea duniani !!
 
Kwa kawaida kichogoni ndipo kwenye medula oblangata. Sasa kunapokua hakuna kichogo,medula oblangata huwa ina nafasi ndogo-limited space-hivyo ubongo nao huwa mdogo. Hiyo huchangia uwezo wa akili pia kuwa mdogo. Kumbuka tafiti za kisayansi zasema kadri ubongo unavyokua mkubwa ndio uwezo wa kiakili huwa mkubwa. Nimejibu kisayansi zaidi.

ulifundishwa wapi medula oblangata inahusikia na kubalance mwili, na hasa inafanya kazi unapokuwa umechoka, unakuta mwili unaakuwa imbalance, unapokunywa pombe au kitu chochote cha kulewesha, ni medula oblangata unavuruga kwani inashindwa kubalance mwili na kujikuta unaswing tu, hatimae unalala, na ndio maana watu tunalala, ni pale medula inapokuwa imebalance mwili kutwa nzima na inafika muda flani inapochoka ndio hapo, unatembea ka umelewa au unakuwa ka teja kwani pale inahitaji kupumzika, wana sababu zao nyingine wala hazihusiani na sayansi
 
kwa nn na nyinyi wa bara ni weusi ti

kwa sababu sisi ni waafrika original, nyie wamakonde ( wapemba) waarabu wa oman walijihybrid na wamakonde ( watu wa mwanzo kuishi pemba) ndo mkatokea machotara, mnajiita waarabu kumbe ni hybrid ya mwarabu na mmakonde
 
Interesting.. Ukifika zanzibar watu wenye vichogo wanaitwa watu wa Bara.

Nimefurahia sana hii Mada mana hata mi nlikua najiuliza ukimuona mpemba Lazima nyuma ya kichwa ni flat screen

hahaha...afu tuwe wakweli nimesoma na wanzanzibar wawili jamani wengi ni vilaza sana...mnisamehe km nimemkwaza mtu
 
Ngoja nikamuangalie vizuri JIRANI yangu (amii)
Narudi narudi
 
wanawalaza watoto wachanga kwenye mto wa mchanga ili aiswe chogo..hii ni mila ya waarabu iliorithiwa na wapemba ambao asili yao ni uarabuni na ajemi!
 
kumbe na mimi nina akili sana manake nina chogo kubwa kama la madenge.
 
Mm nishakaa nao kiukweli ni vilaza sana ukiwapeleka class ila mmoja akiwa genius basi genius kweki ila 85%vilaza
 
Tunaacha shughuli zetu za uchaguzi tuna ongelea watu ambao hawajai mabasi ya Ikarus matano
 
Duh Zanzibar nilikua naitwa Chogo kisa natokea bara na hii ni kwa wote wanaotokea bara ni common ID kabisa.
Thread yako imenifurahisha kuhusu kua vilaza au vipanga duh hawa wenzetu kwenye ukilaza ni mafundi haswaa watanisamehe kwa hili ila wakija bara ndio utawagundua wao elimu ya kikoloni inawapa shida nina wana kadhaa nikiwakumbuka nacheka tu.
 
Tunaacha shughuli zetu za uchaguzi tuna ongelea watu ambao hawajai mabasi ya Ikarus matano

Si wote wanasiasa mkuu wengine hatupendi tufanye nini inabidi tuchangie hivyo inabidi tujichanganye humo humo lakini ukweli ni huo pili mkuu kunajukwaa la siasa ingia humo utafurahi tu
 
kwa sababu sisi ni waafrika original, nyie wamakonde ( wapemba) waarabu wa oman walijihybrid na wamakonde ( watu wa mwanzo kuishi pemba) ndo mkatokea machotara, mnajiita waarabu kumbe ni hybrid ya mwarabu na mmakonde

Wewe utapewa mshipa wewe.
Au vile Msumbiji kuna eneo linaitwa PEMBA,hahahaha
Hapa ukweli upo kwa upande mmoja kuna mseto wa hali ya Juu ya Wamakonde wa Msumbiji na huku.
Na ndio maana Kiongozi yoyote mkuu hata Raisi wa Msumbiji alipofika lazima aje huku aonane na Jumuiya ya wale ambao wao bado wanajiita watu wa Msumbiji.

Lakini wale wenzangu mie tumeishajitoa huko kwa mseto wa maana.
 
Ngoja Zanzibar spices aje aseme ni kwanini?

Hahaha,aisee mie najua hapa Jokes tu,msinitafute jamani ushari.

Mbona hatusemi kina Diva Beyonce na Mummitto wa bara wanamakalio makubwaaa.

Suala la Maumbile ni la Ki Genetic wakuu.

Kuna watu wa nchi fulani humu duniani wana dushelele balaa,hii ni kutokana na mfumo huo,na wapo wana vidushelele vifupii pia wapo wa maeneo fulani.
Ni Suala la kawaida.

Mfano hata kuhusu mahusiano,ni kwamba kuna Mikoa watu wa mkoa huo wao pesa tu mapenzi baadae.
Na wapo watu Mikoa fulani wao mapenzi ndio nyumbani pesa ni ziada tu.
Na wapo watu wa Mikoa fulani wao ukitongoza hapo hapo unaondoka nae,na wapo watu wa mikoa baadhi kutongoza ni isshe,kama unaomba viza vile.
 
Nahuku zanzabr ukitaka demu cha kwanza jina lako nani ss we sema john au sema natokea bara dah utakoma wakt upande wetu ww kanyaga twende shwaga tu
 
waambie waje bara ndani ya mwaka moja wameshaota visogo halafu warudi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom