tatizo kuu ni kwamba wanawake wanahamasishwa kuwa wana haki sawa na waume zao, kwaiyo ni kama vile tu ambavyo fahari wawili hawawezi kuishi zizi moja. Huu utamaduni wa kizungu wenyewe unawashinda na ndio maana wana ndoa za mikataba na wakifikisha miaka mitano wana fanya annivesary kubwa sana kusherekea.,
zamani ndoa hazikuwa na migogogro coz women were submissive to their husbs kwa kila spect. ukweli ndio huo
Hakuna mzazi anayekaa na kufunda watoti wake siku hizi. Wanawake wa sasa wanauwezo wa kutafuta pesa anaweza ishi kula kuvaa na kusomesha watoto wake sasa kwa nini avumilie mateso? Zamani walivumilia mateso kwa kuwa hawakuwa na uwezo wa kifedha so mi naona kila mtu ajue jukumu lake na ukiingia kwa ndoa ujue ndoa ni ya wawili hakuna mtu mwenye jukunu la kuibeba ndoa kama msalaba