Kwanini ndoa nyingi leo zimejaa migogoro?

Kwanini ndoa nyingi leo zimejaa migogoro?

Wanawake wamekuwa na fursa sawa na wanaume. Ni kama 50-50 sasa. Mwanaume akimwaga mboga wao wanamwaga ugali na sufuria lake.

Na jiko tunalimwagia maji kabisaaa kusipikike tena.

Hivi mbona nyie mnaona sisi ndio tatizo tu!!! Nyie ni masaint eti??
 
Na jiko tunalimwagia maji kabisaaa kusipikike tena.

Hivi mbona nyie mnaona sisi ndio tatizo tu!!! Nyie ni masaint eti??

atoto hivi unajua kwa nini wanarusha mawe kwa wanawake? Wamama wa zamani waliweza kubeba misalaba ya waume zao pamoja na mapungufu waliyokuwa nayo. Miaka hii wamekosa uvumilivu, mume akifanya upumbavu wake nae anafanya kwa kumkomoa, ndoa nayo inaota mbawa...
Lingine kwa maoni yangu ni ngono kabla ya ndoa, I can have sex with a woman any time, huyu akizingua hapa kuna yule kule keshavua pichu ananisubiri.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengi tunampango wa pembeni.hili ni tatizo sugu kwenye ndoa.
 
Wasichana wa siku hizi hawafundishwi na wazazi wao jinsi ya kuishi ndoani.
Wengi wao wanaishi maisha ya kuiga kwenye movie.
Mtu anavaa kama kahaba afu anategemea siku akiolewa atabadilika.
Mtu anaongea maneno machafu kama mdomo huo hautumiki kuingiza chakula tumboni afu anategemea kuolewa.
Mtu hamchi Mungu hana upande haijulikani kama yuko kwa Shetani au Kwa Mungu

Kweli mkuu,
Zaidi ni kuwa mke kamili ni yule anayeolewa akiwa bado bikira - hawa wa siku hizi tunaenda nao makanisani kuondoa utata wa kijamii ili kuhalalisha zinaa just incase of any social challenge tupate uhalali wa msaada-jamii tu ila ki-uhalisia mimi sioni kama ni wake kweli wa ndoa wa kujivunia maana mbali na hayo uliyoyasema hapo juu
Misichana ya siku hizi haina bikira kuanzia za ukeni, midomoni mpaka anus kotekote midume mingine ishapitisha miboboo alafu tunajidai tumeo wake - nyokozao!
Mingine ishatoa mimba zaidi ya mara kumi au imemeza magunia ya midawa ya kuzuia mimba - ukishalibeba ukaliweka ndani baada ya miaka michache tu matatizo yanaaza hata kuzaa kwa njia ya kawaida siku hizi shida
Bibi na mama zetu zamani waliweza kuzaa watoto hadi 12 na zaidi na walikuwa imara wengine wameishi hadi 90+ lakini misichana ya siku hizi kwa sababu ya kuingiliwa kila sehemu ni bahati nasibu kupata atayeweza kuzaa hata watoto watatu wanne bila matatizo
Laana tupu!
Mimi nazani dunia ndiyo inaisha hivyo maana katika hali ya kawaida misichana yote iliyoolewa ikiwa imeishapasuliwa bikira haiwezi kamwe kulea watoto wa kike katika hali ya kutunza usichana wao kwani haioni umuhimu, hivyo hata vitoto vya kike vinafuata njia hizo hizo za mimama mizinzi ndiyo maana siku hizi siyo hajabu mtoto wa kike miaka 10 tayari ana mabwana na mama zao wanawapatia dawa za kuzuia mimba au condom.
Hawawezi kuwakanya maana nafsi zao zinawasuta kwamba na wao waliyafanya hayo hayo hivyo watoto wana-copy kutoka kwao
Mungu atunusuru!
 
watu wanaishi kwa mazoea na ujuaji mwingi. busara haitumiki sana
 
Its true that ndoa zimekuwa msiba and many are dying kwa ndoa . Everyday ni vilio non stop . My lovely sister Bahati Bukuku alisema Muathirika wa ndoa ni hatari kuliko Ukimwi . Because waathirika wa Ukimwi huishi kwa matumaini . Wa ndoa je? ( Haya wawe wanakumbuka kusoma Bible kwenye storms je kama hawakumbuki ? Its too late ) Eeeh Mungu atusaidie tulio mbioni mwa kuingia katika Institution hii, tuliovunjika Mioyo na kupondeka na waliomo ndani ya huduma hii (Ndoa). Thanks ..
 
atoto hivi unajua kwa nini wanarusha mawe kwa wanawake? Wamama wa zamani waliweza kubeba misalaba ya waume zao pamoja na mapungufu waliyokuwa nayo. Miaka hii wamekosa uvumilivu, mume akifanya upumbavu wake nae anafanya kwa kumkomoa, ndoa nayo inaota mbawa...
Lingine kwa maoni yangu ni ngono kabla ya ndoa, I can have sex with a woman any time, huyu akizingua hapa kuna yule kule keshavua pichu ananisubiri.

Mmmmh! Yale waliyoyavumilia kwakweli hapana, ule uvumilivu hata Mungu alikuwa anaushangaa, ila sishangai kutulaumu kunaanzia mbali sanaaaa, hivyo wanaume hawaonagi km wao wanakosea, wakikosea ni kutulaumu tu na mmegoma kabisaaa kuling'amua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom